Baba na beki tatu!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
23
Nyumba moja yenye familia ya watu wanne ikiwa ni baba mwenye nyumba, mama na wafanyakazi wawili mmoja wa kike na mwingine wa nje wa kiume, scroll ufuate utamu halisi!

Baba anamla dada (mfanyakazi wa ndani wa kike) mara anaanza kummwagia mijisifa, unajua we ni mtamu sana na malavidavi kama hayo, binti akawa anaguna hasemi kitu, baba akaanza kusistiza mbona husemi kitu mara binti akaamua kufungua mdomo si akaropoka
"ivyo eeeeh? basi itakuwa ni kweli kwani hata kaka huniambiaga kuwa mimi ni mtamu kuliko mama" Jamaa na mashine ililala!
 
ikikupata ivo unafreeze ghafla na roho inajinyofoa mwilini lol
 
yaani mbona ka mashine kanakuwa kama ka mtoto! kagovi! nouma
 
wanaume wanapenda kuiba lakini hawapendi kuibiwa Akisikia anaibiwa anathamani afe lakini yeye akiiba roho nyeupeee
 
ikikupata ivo unafreeze ghafla na roho inajinyofoa mwilini lol

ni kwa vile koromeo ni jembamba inaweza kutaka kutokea hapo. Jasho lazima likutoke, joints zote hasa magoti yanaishiwa nguvu, kama si mkojo haja kubwa lazima ipige hodi.
 
yaani mpango mzima, mnakuwa kama kuna familia 2 ndani ya nyumba na kila m2 anagonga mke wa mwenzake! duh noma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom