Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

RIP Baba Tundu, Mungu akulaze mahali pema. Vile vile mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu wandugu wote
na kukipokea kifo hiki kwa imani mkitumainia mungu atampokea kwenye kiti chake cha enzi. Amina
 
My deepest condelences to Mh Lissu and the whole family. Mwanga wa milele amuangizie Mzee Lissu.
 
symphaty1.jpg


May God rest his soul in eternal peace~AMEN
 
Mungu yu mwema, daima kazi yake haina makosa. Mungu awape nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu familia ya Mzee Lisu.
Kamanda Lisu, bado tupo pamoja huo sio mwisho wa ujasiri wa kupigania haki ya watanzania.

Bwana ametoa, na Bwana ametwaa: Jina lake libarikiwe!
 
Pole saana kamanda Lisu. Japokuwa mzee katutoka lakini amekufa akiwa anajua mwanaye amekuwa ukombozi kwa umma wa watanzania. RIP mzee wetu.
 
Pole sana Kamanda Lisu,tumaini la wanyonge tulio wengi,tusiojua haki zetu na tulio gizani kwenye haki na wajibu wetu,tusaidie kutuvusha tukiwa na ujasiri,uzalendo halisi!Pole kwa msiba mkubwa sana,ila Mzee amekuachia msingi mzito sana ambao nadhani msingi wake ni yeye!RIP Mzee Lisu
 
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augustino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina.

Mungu yu mwema, daima kazi yake haina makosa. Mungu awape nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu familia ya Mzee Lisu.
Kamanda Lisu, bado tupo pamoja huo sio mwisho wa ujasiri wa kupigania haki ya watanzania.

Bwana ametoa, na Bwana ametwaa: Jina lake libarikiwe!
 
R.I.P Antipas Augustin Lissu Mughwai!!!we love you and your son, TUNDU.
 
Pole sana Mh. Tundu Lissu, mungu akupe ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi, R.I.P mzee wetu
 
Tundu Lissu pamoja na familia yao yote!
Poleni sana na kifo cha baba yetu na MUNGU mwenye rehema amlaze mahala pema peponi!

Ni kweli kuziba pengo hilo ni ngumu ila hakika MUNGU mwenye uweza atawazibia pasipo kujua maana hakika anauweza huo!
Poleni sana na hakika tupo pamoja!
 
Pole sana familia ya mh. Tundu Lissu. Bwana ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe!
 
Pole sana Mh. Lissu. Nakuombea Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu. Mungu ametwaa kilichochake na jin alake lihimidiwe, Amina. RIP Mzee Lissu.
 
Pole sana kamanda! Mungu ailaze roho ya baba mzazi mahali pema peponi...RIP.

Leo kuna mda nilikuona somewhere maeneo ya Mwl.nyerere mikocheni na nikakufuata kukusalimia.

Nachukua nafasi hii kukuambia kuwa ule mkono tuliopeana kama salamu basi chukulia ndiyo kama pole
yangu kwako japokuwa sikujua kama umefiwa. Pole sana kamanda!
 
Back
Top Bottom