Baba Mzazi wa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba, Mzee Kanumba, amefariki dunia leo Machi 8, 2020

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,754
2,000
Baba Mzazi wa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba, Mzee Kanumba, amefariki dunia leo Machi 8, 2020,

katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga alikokuwa akipatiwa matibabu, msiba upo nyumbani kwake alipokuwa anaishi, Mjini Shinyanga.

FB_IMG_1583673741540.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

devor

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
873
1,000
Sjui kama atamkuta kanumba huko ,ama bado Anatumikia imani yake
 

Mr Kaptenovela

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
623
1,000
Sisi wabongo huwa tunakuja kutoa pole full time mchezo unapokuwa umeisha.... Pole ambazo hazimsaidii mhusika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom