Baba mwenye nyumba wangu kafanya mapenzi na msaidizi wangu wa ndani(House Girl)

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,514
1,719
Iko hivi, jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, halafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
 
Inawezekana aliyemgegeda akawa ni mke wake lakini anamfikishia ujumbe indirect, unajua huwezi kumsimulia mtu umemgegeda mkewe lakini kama unataka kufikisha ujumbe kwa kuzunguka unaweza ukafanya hivyo ili ajiongeze mwenyewe.
Au anawagegeda wote, au labda amemgegeda beki3 tu kama alivyosimulia. Anything is possible, just keep yours eyes wide open.
Siku nyingine atakualika tena kinywaji na kukusimulia kuwa amemgegeda mkeo.
 
one love kwa house girl wote popote pale walipo

siyo wachoyo na hawanaga hiyana...hasahasa ukiwa na Sera wanazozielewa.

Huduma chap chap na popote
 
Mwalike kwenye kinywaji nawe umwambie umemgegeda mkewe au binti yake(kama anaye) uone atavyofurahi.

Kuleta mrejesho hapa ni muhimu sana ukiamua kuufanyia kazi ushauri huu muruwa.

akiwa anmsimulia hivo awe amefanya vitu vifutavyo
1. awe ametafuta nyumba nyingine
2.awe amevaa helmet
:D:D:D
 
akiwa anmsimulia hivo awe amefanya vitu vifutavyo
1. awe ametafuta nyumba nyingine
2.awe amevaa helmet
:D:D:D
Kuna wenye nyumba hamnazo kabisa.
Mi ningemtolea uvivu hapo hapo
Huenda jamaa anavumiliwa sana na mwenye nyumba kuhusu kodi ndo maana kapata ujasiri wa kumtapikia ujinga huo.
 
 
 
iko, hivi jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
Na wewe unasubiri nini?
 
Jamaa kavuna alichopanda
 
iko, hivi jana jioni baba mwenye nyumba alinialika kwa ajili ya kinywaji, tukaenda kwenye ka grosari hapa mtaani, baada ya bia mbili tatu akanisimulia kuwa kamgegeda beki tatu wangu. Niliigiza nipo sawa ila nilikasirika sana, alafu anamsifia kabisa anajua mambo eti yuko vizuri sana kwenye 6*6
Atakuwa kapiga na mke wako ndo anamsifia sio beki tatu tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom