Baba mwenye nyumba hata akiagiza watu wapigwe risasi hadharani bado atapata watetezi tu

MI naamini hata akiagiza wake/wives wa hao hao watetezi wachapwe bakora kwa sababu hawana chura; amini usiamini, hao hao wataanza kuwasemanga wake zao "sasa waifu si umejitakia mwenyewe kutokuwa na chura"
Nimecheka sana hii comment
 
Hata akimchukua mkeo we mpe tu bwege wewe eti apigwe risasi kisa nini?Unaijua risasi ikitoka we mbuzi?
Hivi huwa mnaandika vitu vichwani kwenu mnakua na mav**I au.?
 
Back
Top Bottom