Baba mwenye nyumba akipendwa na housegirl ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba mwenye nyumba akipendwa na housegirl ni balaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 21, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  SIDHANI KAMA KUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUCHOMOKA HAPO.[​IMG]
   
 2. F

  Ford89 Senior Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo housegirl nae ana matatizo,wanaume wote hao hawaon mpaka ampende bos wake
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  Ukimwambia kitu kama hicho atakwambia, anakutaka wewe, mbaya zaidi maneno ya mwanamke siku zote hukawia kutoa moyoni mwa mwanaume.

  mzee utakaa siku mbili siku ya tatu ("subiri mamayoo atoke kwanza tuzungumzee, siku ya nne mambo yataharibika)
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Unapaswa ulikatae hilo kwa nguvu zote maana ukizidi kumuweka karibu atakuharibia nyumba
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyo ni baba mwenye nyumba aliyekosa busara kumkubalia huyo hous girl,kwa mwanaume anayejiheshimu na kumheshimu mkewe kamwe hawezi kukubali atakachokifanya ni kumkemea huyo bint kwa busara na kumwelewesha kwamba anachotaka wafanye sio sahihi km hataelewa baba anatakiwa kumjulisha mkewe na kumfukuza kazi huyo binti kwan ana nia ya kuharibu hiyo ndoa.
   
 6. M

  MORIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ni udhaifu tuu...bint kutoka shamba asiyejua hata kuoga, naye anakupelekeshaje puta....mmh!
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mi naona bora amtimue kazi tu,au unaonaje Moria?
   
 8. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mhhhh!!! umeshanasa nini hapo!!!?????................POLE
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wapi???!!!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kwenye mikono ya Beki tatu a.k.a msaidizi wa ndani!.......................lasaa sisis wenyewe tunamuita msaidizi!

  Hahahahahah Msaidizi anapopanua mipaka ya usaidizi!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwa mwanaume makini mwenye msimamo anayejitambua hawezi kutegwa na housegirl
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kukubali kutegwa na house gel ni kukubali kumdhalilisha wife wako na kuidhaiilisha familia yako kwa ujumla! Kama baba ndani ya nyumba ni vzr kuwa na misimamo thabiti ya kimaisha na maendeleo, siyo kwenda kuangukia kwenye kifua cha house gel, ni aibu na dharau kwa mkeo!
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,506
  Trophy Points: 280
  Hahahahahah lol! Shauri yako! Utakuja kujuta na kulia kilio cha mbwa mdomo juu.
   
 14. M

  Maswalala Senior Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza huyo HG ataanzaje kumtega bosi wake anyway inategemea na mambo mengi kama vile mke wa boss kutojua wajibu wake 'the way she use to handle her husband'pia na age ya huyo beki tatu na the way she looks maanakunawengine huwezi tofautisha nan hous girl na nan mama mwenye nyumba
   
 15. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  Umeongea mambo ya msingi sana hapa.

  1. Uchaguzi wa mfanyakazi wa ndani unamata sana.
  2. Wajibu wa mama mwenye nyumba uzingatiwe. japo kina mama wengi wanapuuzia sana .
  3. Msimamo wa boss ni muhimu, kwani kutengwa si kunasa, unaruka mtego safari inendelea , kama mtego bado unasumbua ng'oa kila kitu maisha yaendee
   
 16. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  kukubali kutengwa na hg ni kukubali kuwa chizi
   
 17. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  Wabaoga bana.
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,388
  Trophy Points: 280
  Lakini usimwachie mumeo ahudumiwe kila kitu.
   
 19. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe.
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Uendelee na moyo huu huu usirudi nyuma! Shida ni pale utapoanza kujisahau
   
Loading...