Baba mwenye nyumba aamua kuwatimua wapangaji kwa kutoa vitu vyao nje

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20

Mzee mwenye nyumba hiyo afahamikae kwa jina la Mzee NYUMBA (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliofika katika eneo hilo la tukio jioni ya leo,juu ya nia yake ya kuwatoa wapangaji wake wote waliokuwepo kwenye nyumba yake hiyo kwa madai ya kutolipia kodi ya pango kwa kipindi cha miaka mitatu.

Kwa Upande wa Wapangaji wa Nyumba hiyo walieleza kwamba wao hawakukaa katika nyumba hiyo bila ya kulipa kodi,kwani kuna Mtu ambaye aliwapangisha (hawakumtaja jina) kuwa ndie aliekuwa akichukua Kodi zao kwa kipindi chote hicho,

HII HABAR INANIUMIZA KICHWA SANA
1. NASHINDWA KUELEWA,NYUMBA NI YA NANI?
2. JE NANI ALIWAPANGISHA HAWA WATU? NA NI KWA NINI HAWATAKI KUMTAJA?
3. KAMA NI KWELI,KWA NINI MAHAKAMA IMETOA KIBALI KWA HUYU MZEE??

HAYA NDO MAMBO YA MJINI,UKIZUBAA UNALIZWA!!!!!!!!!!!!

JARIBUNI KUUSOMA, LABDA MTAUELEWA MKASA HUU
<< MKASA NIMEUKUTA HAPA>>
 
kama huyo mzee alikaa miaka mitatu bila kuwa anachukua kodi sheria inamtambua
aliekuwa anapokea alikuwa anapokea hela atakuwa anapokea kwa niaba yake,
labda kama huyo mzee alikuwa anawadai kodi kwa miaka hiyo mitatu bila kulipwa,
na kwa vile amekaa miaka 3 kama hakuwahi kwapeleka mahakani au ktk chombo
chochote cha sheria au kuwaandikia barua ya madai hana haki ya kuwatoa nje hao wapangaji.
sheria zipo wazi. miaka 3 alikuwa wapi? mkataba wa kupanga nani alikuwa anasign? nk yaho ni ya kujiuliza
naona kapata dili kubwa zaidi labda.
 
Sheria zako za kikomunisti zimepitwa na wakati. Siku hizi hata Serikali wanatolewa viombo nje na NHC. Upo hapo ulipo?
 
Sheria zako za kikomunisti zimepitwa na wakati. Siku hizi hata Serikali wanatolewa viombo nje na NHC. Upo hapo ulipo?
usipovuta bange unakua na busara sana, sijui nini kinakufanya usiache mibange

nakupenda tu!!!
 
kwa watz tulivyo wazembe utakuta walikua wanaishi na kulipa kodi bila kusaini mkataba! kama kweli kuna mtu anadhulumu mzee wa watu kama huyu kodi,mungu awaone! mzee wa watu alijibana enzi za ujana wake akajiwekea kapensheni kake! kuna watu hawana utu!
 
Kamsaidie basi na hiyo babu na hiyo binduki yako.
 
Miaka mitatu mtu unakaa kwenye nyumba ya watu ulipi kodi!
Mzee mwenyewe mvumilivu sana
 
Jozzb, mbona unapotosha ukweli? aliyeamuwa si Baba mwenye Nyumba, iliyoamuwa na kuamuru ni Mahakama. Baba mwenye nyumba hajachukuwa sheria mkononi, alikwenda Mahakamani na Mahakama ndiyo yaliyotowa maamuzi na hukumu hiyo.
 
faizafoxy,!!!,,, kumbuka kuwa babu alienda mahakamani baada ya kutopata kilicho chake na baada ya mabishano ya umiliki wa nyumba ilie.Aliposhinda,mahakama ikampa kibali,wapangaji wakaja juuu kuwa walikuwa wanalipa kodo!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom