Baba, Mtoto wako mtundu, amejisaidia mkononi, Je, utaukata au kuusafisha na kumsafisha?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,435
113,444
Wanabodi,

Huu ni uzi wa swali la hypothetical situation kuhusu wewe kama Baba wa Familia, Mtoto Wako Mtundu, Amekuny.a Mkononi, Jee Utaukata Mkono, au Utausafisha na Kumsafisha?.

Baba responsible, ukiachiwa mtoto, halafu akikuny.a mkono, hauukati, wala humchapi mtoto, bali utausafisha mkono, na utamsafisha mtoto na kuendelea kumbeba.

Rais wa nchi ni kama baba, rais wote wa Tanzania ni kama watoto, hata wakikunye.a mkono, haupaswi kuwachapa, kuwasusa, bali kuwakumbatia na kuwa support.

Hata kama taratibu zimekiukwa, lakini huyu ni mtoto wa Tanzania, ni Mtanzania mwenzetu, kwa vile alikuwa very vocal kumhusu baba na serikali yake, baada ya kushambuliwa, mtu yoyote lazima angehofia uangalizi wa baba kwa hisia kuwa ni hasira za baba, hivyo wako very right, kwenda mahali salama.

Lakini despite all, serikali yetu bado has a duty of care kwa raia wake, na Bunge letu bado has a duty of care kumhudumia na kugharimia matibabu mbunge wake na ikibidi kutoa support ahamishiwe kwenye nchi yenye matibabu bora zaidi.

Kunyoosha huku mikono kutoa support, ni unconditional and despite all the odds kwa sababu kila mzazi has a duty of care kwa watoto wake regardless of anything!.

Bunge Liheshimu Haki, Stahiki ni Haki na Sio Favors, Rights Zisigeuzwe Favours!.
Mbunge akiugua, anastahili kutibiwa kwa gharama za Bunge, iwe ni ndani ya nchi au inje ya nchi. Hii sio hisani, ni stahiki, yaani ni right, ni haki. Hata kama taratibu hazikufuatwa, mazingira ya tukio lile, yana justify, taratibu hizo kutofuatwa, lakini Bunge bado haliwezi kukwepa wajibu wake wa kumhudumia, gharama za kutibiwa na bunge sio hisani, ni stahiki. Ifike mahali, vyombo husika, vitenganishe siasa na wajibu, Bunge kumhudumia Tundu Lissu sio ombi, as if ni favors tuu kuwa Lissu atatibiwa kwa gharama za Bunge, hii sio favour, ni haki, ni stahiki, hivyo hili ni jambo la lazima Bunge litimize wajibu wake!.

Hukumu ya Karma Pia Inawahusu Viongozi wa Serikali, Wasiotimiza Wajibu Wao.
Ifike mahali, viongozi wetu, waogope kitu kinachoitwa karma, ambapo wewe kama ni kiongozi, ni kama baba, you have a duty of care kwa raia wako wote kama ilivyo kwa baba wa familia hata kama Watoto wako tofauti, kuna wengne ni Watoto wazuri unawapenda Zaidi, na wengine ni Watoto watudu, wanakusumbua, lakini wakikumbwa na matatizo. unawaji wa kusaidia!. Hivyo kwenye hili la Tundu Lissu, tunakuomba baba yetu, if there is anything you can do to help out, please do!, tena do it now before its too late!.

Karma inaelekeza, if there is something bad that has happened to someone, uwe unahusika, au huusiki, but there is something you can do to help out, but you don't do kwa sababu tuu taratibu hazikufuatwa, au kwa sababu unanyooshewa kidole, karma inaelekeza just ignore everything, maneno, vidole na taratibu zilizokiukwa, just do what you can do to help out. Mtume balozi wetu pale aka assess the situation and if there is something you can do, please do!.

Kwa sababu, if something bad will happen, kwa sababu you didn't do anything to help out, na ulikuwa na uwezo wa kusaidia na kuzuia hiyo something bad isi happen, then, the karma of what happens will also be upon you kwa kushindwa kutimiza wajibu wako kumhusu raia wako!.

Hii karma jamani haijui nani ni nani, wala haijalishi mamlaka ya kidunia hii, karma is real, tutimize wajibu wetu ipasavyo kuepuka a bad karma, kwa kutenda mema, hata kwa wabaya wetu, ili kujenga karma njema.

Namalizia kwa swali hili, Jee Wewe Kama Baba, Mtoto Wako Mtundu Sana, Akikuny.a Kwenye Mkono, Jee Utaukata?, Utamchapa?, au Utamsusa?, au Utausafisha na Kumhudumia kwa Kumsafisha?.

Get Well Soon, TL.

Paskali
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa swali la hypothetical situation kuhusu wewe kama Baba wa Familia, Mtoto Wako Mtundu, Amekuny.a Mkononi, Jee Utaukata Mkono, au Utausafisha na Kumsafisha?.

Baba ukiachiwa mtoto, halafu akikuny.a mkono, hauukati, wala humchapi mtoto, bali utausafisha mkono, na utamsafisha mtoto na kuendelea kumbeba.

Rais wa nchi ni kama baba, rais wote wa Tanzania ni kama watoto, hata wakikunye.a mkono, haupaswi kuwachapa, kuwasusa, bali kuwakumbatia na kuwa support.

Hata kama taratibu zimekiukwa, lakini huyu ni mtoto wa Tanzania, ni Mtanzania mwenzetu, kwa vile alikuwa very vocal kumhusu baba na serikali yake, baada ya kushambuliwa, mtu yoyote lazima angehofia uangalizi wa baba kwa hisia kuwa ni hasira za baba, hivyo wako very right, kwenda mahali salama.

Lakini despite all, serikali yetu bado has a duty of care, Bunge letu bado has a duty of care kumhudumia na kugharimia matibabu na ikibidi kutoa support ahamishiwe kwenye nchi yenye matibabu bora zaidi.

Kunyoosha huku mikono kutoa support, ni unconditional and despite all the odds kwa sababu kila mzazi has a duty of care kwa watoto wake regardless of anything!.

Ifike mahali, viongozi wetu, waogope kitu kinachoitwa karma, ambapo wewe kama ni kiongozi, ni kama baba, you have a duty of care kwa raia wako wote, if there is anything you can do to help out, please do!, tena do it now before its too late!.

Karma inaelekeza, if there is something bad that has happened to someone, uwe unahusika, a huusiki, but there is something you can do to help out, but you don't do kwa sababu tuu taratibu hazikufuatwa, au kwa sababu unanyooshewa kidole, karma inaelekeza just ignore everything, maneno, vidole na taratibu zilizokiukwa, just do what you can do to help out. Mtume balozi wetu pale aka assess the situation and if there is something you can do, please do!.

Kwa sababu, if something will happen, kwa sababu you didn't do anything to help out, na ulikuwa na uwezo wa kusaidia na kuzuia hiyo something is happen, then, the karma of what happens will also be upon you kwa kushindwa kutimiza wajibu wako kumhusu raia wako!.

Baba ukiwa na Chuki,Hasira, Visasi na Ubaguzi huwezi kumtendea vyema mtoto umchukiaye.Na Mara zote mtoto achukiwaye ndiye msaada mkubwa kwa baba na familia.yake.

Shemeji aliywmweka hai hadi Leo ndiye atakejua namna gani mtoto huyo atatibiwa.

Usiwe.na wasiwasi.

Kwa kuongezea tu Kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa.." Mpende jirani yako kama.unavyojipenda wewe na suichopenda kutendewa usimtendee mwenzako"

Shemeji Mtenda hutendwa.
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa swali la hypothetical situation kuhusu wewe kama Baba wa Familia, Mtoto Wako Mtundu, Amekuny.a Mkononi, Jee Utaukata Mkono, au Utausafisha na Kumsafisha?.

Baba ukiachiwa mtoto, halafu akikuny.a mkono, hauukati, wala humchapi mtoto, bali utausafisha mkono, na utamsafisha mtoto na kuendelea kumbeba.

Rais wa nchi ni kama baba, rais wote wa Tanzania ni kama watoto, hata wakikunye.a mkono, haupaswi kuwachapa, kuwasusa, bali kuwakumbatia na kuwa support.

Hata kama taratibu zimekiukwa, lakini huyu ni mtoto wa Tanzania, ni Mtanzania mwenzetu, kwa vile alikuwa very vocal kumhusu baba na serikali yake, baada ya kushambuliwa, mtu yoyote lazima angehofia uangalizi wa baba kwa hisia kuwa ni hasira za baba, hivyo wako very right, kwenda mahali salama.

Lakini despite all, serikali yetu bado has a duty of care, Bunge letu bado has a duty of care kumhudumia na kugharimia matibabu na ikibidi kutoa support ahamishiwe kwenye nchi yenye matibabu bora zaidi.

Kunyoosha huku mikono kutoa support, ni unconditional and despite all the odds kwa sababu kila mzazi has a duty of care kwa watoto wake regardless of anything!.

Ifike mahali, viongozi wetu, waogope kitu kinachoitwa karma, ambapo wewe kama ni kiongozi, ni kama baba, you have a duty of care kwa raia wako wote, if there is anything you can do to help out, please do!, tena do it now before its too late!.

Karma inaelekeza, if there is something bad that has happened to someone, uwe unahusika, a huusiki, but there is something you can do to help out, but you don't do kwa sababu tuu taratibu hazikufuatwa, au kwa sababu unanyooshewa kidole, karma inaelekeza just ignore everything, maneno, vidole na taratibu zilizokiukwa, just do what you can do to help out. Mtume balozi wetu pale aka assess the situation and if there is something you can do, please do!.

Kwa sababu, if something will happen, kwa sababu you didn't do anything to help out, na ulikuwa na uwezo wa kusaidia na kuzuia hiyo something is happen, then, the karma of what happens will also be upon you kwa kushindwa kutimiza wajibu wako kumhusu raia wako!.

Hii karma jamani haijui nani ni nani, wala haijalishi mamlaka ya kidunia hii, karma is real, tutimize wajibu wetu ipasavyo kuepuka a bad karma, kwa kutenda mema, hata kwa wabaya wetu, ili kujenga karma njema.

Namalizia kwa swali hili, Jee Wewe Kama Baba, Mtoto Wako Mtundu Sana, Akikuny.a Kwenye Mkono, Jee Utaukata?, Utamchapa?, au Utamsusa?, au Utausafisha na Kumhudumia kwa Kumsafisha?.

Get Well Soon, TL.

Paskali
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Mimi nimekuelewa ila Sijui kama yeye atakuelewa, au nawewe utaishia kuingia kwenye orodha ya wabaya wake, maana tumeambiwa tupo kwenye vita utani hataki
 
Pole Pascal Mayalla. Najua jibu la unayemwandikia unalijua ila unachokoza tu ili ionekane ulisema. Alishasema hapangiwi.
 
Nimeelewa na naendelea kutafakali.
Nimesikitika zaidi baada ya kusikia sehemu nyingine ya nchi wale walioguswa na hawana uwezo wa kuchangia pesa hivyo wakaamua kuorganize sala walau lakini wakakataliwa kumuomba Mungu!!!! Unashindwa kuelewa kama watu wengine wameumbwa na Mungu huyu huyu tunayemlilia sote!
 
Lissu ataponywa na Mungu. Na kila mtu atalipa kutokana na kutotimiza wajibu.
Siku hizi zimeharibika,kuna wazazi wengine wanaua watoto wao kwa sababu za kijinga saana. Wengine hutupa vichanga,wengine huwafungia ndani na wengine waweza kuwaua kwa kipigo. Damu za watoto hao zitakuwa juu ya wazazi wao walwatesa na kuacha wajibu wa kuwalea.
 
Ni ajabu kuwa tabia mbaya inazidi kuambukizwa kuelekea chini. Ni maajabu makubwa hata Balozi wetu kule hajamtembelea mbunge aliye kwenye coma tena sio kwa malaria Kali bali kwa kushambuliwa, Mzee kipaza sauti naye katika wakati kama huu anatangaza mapambano na wanao mhudumia mgonjwa, waziri mwenye dhamana ya afya na yule wa usalama wa ndani wamefunga midomo yao na serikali yote ni business as usual.
Tunatakiwa kuliombea taifa kwani huko liendako haijawahi kutokea awali.
 
Lakini despite all, serikali yetu bado has a duty of care, Bunge letu bado has a duty of care kumhudumia na kugharimia matibabu na ikibidi kutoa support ahamishiwe kwenye nchi yenye matibabu bora zaidi.

Hivi unadhani serikali na bunge walipewa nafasi na wenzake wa karibu na mtoto huyo watoe huduma hiyo? Watoto wenzake walimkimbiza mwezao wakampe huduma wanayojua wao na yeye kwa kuwa alikuwa hajiwezi hakuweza kukataa kumsubiri baba aje atoe msaada...wakati wanajua kabisa baba wa mtoto ndiye mwenye wajibu na uwezo wa kutoa huduma kwa mtoto. Sasa watoto hawa wamefika huko yamewaishinda wanaanza kulalama hoo...! mzazi gani huyo wala hamjali mwanaye...!!! Lawama hizi hazikubaliki, maana utaratibu wa baba kutoa huduma kwa mtoto wake unajulikana mpaka hata kwa majirani na mwenyekiti wa serikali ya mtaa!
 
Wanabodi,

Huu ni uzi wa swali la hypothetical situation kuhusu wewe kama Baba wa Familia, Mtoto Wako Mtundu, Amekuny.a Mkononi, Jee Utaukata Mkono, au Utausafisha na Kumsafisha?.

Baba ukiachiwa mtoto, halafu akikuny.a mkono, hauukati, wala humchapi mtoto, bali utausafisha mkono, na utamsafisha mtoto na kuendelea kumbeba.

Rais wa nchi ni kama baba, rais wote wa Tanzania ni kama watoto, hata wakikunye.a mkono, haupaswi kuwachapa, kuwasusa, bali kuwakumbatia na kuwa support.

Hata kama taratibu zimekiukwa, lakini huyu ni mtoto wa Tanzania, ni Mtanzania mwenzetu, kwa vile alikuwa very vocal kumhusu baba na serikali yake, baada ya kushambuliwa, mtu yoyote lazima angehofia uangalizi wa baba kwa hisia kuwa ni hasira za baba, hivyo wako very right, kwenda mahali salama.

Lakini despite all, serikali yetu bado has a duty of care, Bunge letu bado has a duty of care kumhudumia na kugharimia matibabu na ikibidi kutoa support ahamishiwe kwenye nchi yenye matibabu bora zaidi.

Kunyoosha huku mikono kutoa support, ni unconditional and despite all the odds kwa sababu kila mzazi has a duty of care kwa watoto wake regardless of anything!.

Ifike mahali, viongozi wetu, waogope kitu kinachoitwa karma, ambapo wewe kama ni kiongozi, ni kama baba, you have a duty of care kwa raia wako wote, if there is anything you can do to help out, please do!, tena do it now before its too late!.

Karma inaelekeza, if there is something bad that has happened to someone, uwe unahusika, a huusiki, but there is something you can do to help out, but you don't do kwa sababu tuu taratibu hazikufuatwa, au kwa sababu unanyooshewa kidole, karma inaelekeza just ignore everything, maneno, vidole na taratibu zilizokiukwa, just do what you can do to help out. Mtume balozi wetu pale aka assess the situation and if there is something you can do, please do!.

Kwa sababu, if something will happen, kwa sababu you didn't do anything to help out, na ulikuwa na uwezo wa kusaidia na kuzuia hiyo something is happen, then, the karma of what happens will also be upon you kwa kushindwa kutimiza wajibu wako kumhusu raia wako!.

Hii karma jamani haijui nani ni nani, wala haijalishi mamlaka ya kidunia hii, karma is real, tutimize wajibu wetu ipasavyo kuepuka a bad karma, kwa kutenda mema, hata kwa wabaya wetu, ili kujenga karma njema.

Namalizia kwa swali hili, Jee Wewe Kama Baba, Mtoto Wako Mtundu Sana, Akikuny.a Kwenye Mkono, Jee Utaukata?, Utamchapa?, au Utamsusa?, au Utausafisha na Kumhudumia kwa Kumsafisha?.

Get Well Soon, TL.

Paskali
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...
Eti! Kuku wako mwenyewe manati ya nini ila ''Mayayi viza'' mmmm!
 
Back
Top Bottom