Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,541
Salaam wadau,majuzi nilikuwa mkoa likizo,nilienda pamoja na familia yangu(yaani wyf na watoto),tulikwenda kwetu then tukapita kwao na waifu kusalimia siku mbili kabla kurudi mjini.
Kwa kuwa baba mkwe wangu ni mnywaji (japokuwa mi sinywi),nikaamua nimtoe kidogo tukapige stori mbili tatu huku tukilainisha makoo.
Wakati tukiendelea hapo bar,mara kapita dem wa haja,(ki ukweli alikuwa wa nguvu,anasifa zote za kila mwanamme kumtaman,usiniulize kuhusu tabia coz simjui) nikamkata jicho kiwizi wizi afu nikarudi normal.
Kumtizama baba mkwe nikamkuta yeye ndo kakodoa macho yote mpaka kaganda,baada ya kugeuka akanikuta namwangalia,akaniambia,nanukuu,"mwanangu,umeona chuma hicho?enzi zetu vitu kama hivi huwezi kuviachia vipite hivi hivi,mwanangu mi nishajizeekea sasa,we ndo bado kijana,unakubali kweli upitwe hivi hivi?"
Nilikuwa speechless,nikabaki kujichekesha tu.