Baba mkwe kanisakizia mzigo!!!

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,391
1,541
Salaam wadau,majuzi nilikuwa mkoa likizo,nilienda pamoja na familia yangu(yaani wyf na watoto),tulikwenda kwetu then tukapita kwao na waifu kusalimia siku mbili kabla kurudi mjini.

Kwa kuwa baba mkwe wangu ni mnywaji (japokuwa mi sinywi),nikaamua nimtoe kidogo tukapige stori mbili tatu huku tukilainisha makoo.

Wakati tukiendelea hapo bar,mara kapita dem wa haja,(ki ukweli alikuwa wa nguvu,anasifa zote za kila mwanamme kumtaman,usiniulize kuhusu tabia coz simjui) nikamkata jicho kiwizi wizi afu nikarudi normal.

Kumtizama baba mkwe nikamkuta yeye ndo kakodoa macho yote mpaka kaganda,baada ya kugeuka akanikuta namwangalia,akaniambia,nanukuu,"mwanangu,umeona chuma hicho?enzi zetu vitu kama hivi huwezi kuviachia vipite hivi hivi,mwanangu mi nishajizeekea sasa,we ndo bado kijana,unakubali kweli upitwe hivi hivi?"

Nilikuwa speechless,nikabaki kujichekesha tu.
 
tukijiachia tunaitwa gudegude ila gfsonwin ndio anatupa ile hadhi ya kiume. Hahaha kunamwingne atadhubutu?
 
Last edited by a moderator:
nafikir natumia kiswahl kigumu sana ambacho hujakielewa and am sorry kwamba i cant say it in a soft language

nimekuelewa vizuri sana,ndo nasema hata nikikubali kuwa ni mwanamme zaidi yangu au nikatae sio mwanamme zaidi yangu,but siwezi beba mzigo mbele yake.
 
huyu baba mkwe namsifu kwanza kaonyesha kwamba yeye ni mwanaume japo mzee lkn ana guts kuliko vijana wa kileo
japo sijui jinsia yako.....lkn kama ni wa jinsia kinzani nasema it is difficult to define a woman.....kumbe mnaapreciate mwanaume anapo score women wazuri hata kama ni wako......
 
japo sijui jinsia yako.....lkn kama ni wa jinsia kinzani nasema it is difficult to define a woman.....kumbe mnaapreciate mwanaume anapo score women wazuri hata kama ni wako......

ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba watu uzuri tunatofautiana na ni afadhali mwanaume akatoka na mtu bomba kuliko mkewe kuliko atoke na choko zaid ya mkewe.
 
ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba watu uzuri tunatofautiana na ni afadhali mwanaume akatoka na mtu bomba kuliko mkewe kuliko atoke na choko zaid ya mkewe.

ka hiyo kwa mfano wewe ukiwa mwanamke hutafeel pain mumeo akitoka na mwanamke bomba kukuzidi......nasisitiza we will never clearly define Women
 
tukijiachia tunaitwa gudegude ila gfsonwin ndio anatupa ile hadhi ya kiume. Hahaha kunamwingne atadhubutu?

ww umenielewa vzr sana, mwanaume ana sifa yake bhana na haswaaa anapojitambua.

ss wewe hata kumuangalia tuu una mwangali kwa jicho la kuiba halaf ukadhan bamkwe hakuon kumbe anakuona na anaona jins ulivyokuwa poyoyo
 
R u desparate???

not at all brodah!!

iko hivi huyu jamaa yeye kamtazam,a binti kwa jicho la wizi bamkwe kamwona akajikausha na akaendelea kumtizama binti kwa jicho la haki.

kimsingi bamkwe anajua wazi kwamba kutaman kwa mwanaume sio dhambi na hivyo kumtazama binti mrembo kwa jicho la haki sio kosa.

sasa jamaa anajidai malaika ilihali wanaume wameumbiwa kutaman na Mungu alisema tamaa ya mwanaume itakuwa juu ya mwanamke?? kimsing bamkwe kaonyesha uanaume ule wenyewe kwamba yeye hakutaka kijana achukue zigo ila alitaka kumwonyesha kijana uanaume ni nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom