Baba mkwe amekopa kwenye kurudisha mkwanja anajisahaulisha. Hii siyo sawa ndugu zanguni

Umepayuka kisaikolojia na umefilisika katika kujiongeza.
Hebu fikiria Kama mtu anapata utamu kwa binti yako, Tena anajisevia mwenyewe, huyo mtu anaweza akakudai kweli. Si badala ya kimoja apige vitatu kabisa.
Muulizeni anamdai mkwewe alimaliza kulipa mahali ya mkewe? Pengine mzee ameona anazungushwa kumaliziwa mahali akaona aje na huo mkakati!!
 
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000.

Akanambia nimwazime 250,000. Nikamwazima. Miezi miwili imekata. Naona amejisahaulisha kabisa. Kila mara namkumbusha kidizaini kwa salamu tu. Naona anajibu kama vile shwari tu. Hagusii kabisa deni.

Sasa mimi nahitaji mkwanja wangu nimeshapeleka watoto shule nahitaji balance hapa home. Nakumbuka hakuomba alisema nimkopeshe. Sasa anajisahaulisha kitu ambacho mi kinanikwaza.

Mimi mtoto wake nililipa mahari cash na sikutaka hata punguzo. So hapa yasije mambo ya baba mkwe ni kama mzee wako. Ndiyo ni kama mzee wangu nami namtreat kama mzee wangu ndo maana nataka kumdai. Mimi hata mdingi huwa tunadaiana vizuri tu Maana alinifundisha dawa la deni ni kulipa tu.

Sasa jana kidogo nimzukie home kwao maana nlikuwa majalala sana but bahati nzuri nikapata ugeni. Ila nawazia leo hii nimfuate ofisini kwake au home. Anipe tu changu.hiyo itanisukuma mpaka tarehe 25.

Nlikuwa naongea na jamaa yangu ananambia eti baba mkwe ni kama mzazi wako hadaiwi. Nikamwambia mi mzazi wangu tunadaiana vizuri tu. Akabadili tena kuwa baba mkwe usimdai. Hapo nikashangaa. Hadi nchi inadaiwa itakuwa baba mkwe?

Sasa nikaona niulize why baba mkwe hatakiwi kudaiwa ikiwa alikopa? Shida ni nini?
Nakushauri mtume mkeo akamwambie,kwa heshima tu,atazilipa
 
Tamaduni zetu haziruhusu kijana endelea kupambana achana na akili za kimasikini kakope pahali laki moja itakusogeza usimwambie mkeo. Tatizo kubwa nililoliona linakusumbua ni umasikini ambao unapelekea wewe kukosa adabu na kushindwa kutumia akili yako vizuri pia hakikisha unakula mlo kamili na kupata muda mzuri wa kulala na kipindi hiki jitahidi ukae maeneo yenye hewa ya kutosha
 
Mama Fatma. Umekuja kwa hasira sababu najua umegundua kuwa hapa anasema baba yako. Unajiuliza hiki kisa nimekipataje? Nlisimuliwa kuwa ndo mchezo wa baba yako na pikipik yake.si gari nlificha kidogo hapo. Ila umegundua. Sasa usiende gombana na mumeo kuwa kanisimulia. Nimeyapata garage huko.ila mshauri baba yako aache uhuni huo
 
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000.

Akanambia nimwazime 250,000. Nikamwazima. Miezi miwili imekata. Naona amejisahaulisha kabisa. Kila mara namkumbusha kidizaini kwa salamu tu. Naona anajibu kama vile shwari tu. Hagusii kabisa deni.

Sasa mimi nahitaji mkwanja wangu nimeshapeleka watoto shule nahitaji balance hapa home. Nakumbuka hakuomba alisema nimkopeshe. Sasa anajisahaulisha kitu ambacho mi kinanikwaza.

Mimi mtoto wake nililipa mahari cash na sikutaka hata punguzo. So hapa yasije mambo ya baba mkwe ni kama mzee wako. Ndiyo ni kama mzee wangu nami namtreat kama mzee wangu ndo maana nataka kumdai. Mimi hata mdingi huwa tunadaiana vizuri tu Maana alinifundisha dawa la deni ni kulipa tu.

Sasa jana kidogo nimzukie home kwao maana nlikuwa majalala sana but bahati nzuri nikapata ugeni. Ila nawazia leo hii nimfuate ofisini kwake au home. Anipe tu changu.hiyo itanisukuma mpaka tarehe 25.

Nlikuwa naongea na jamaa yangu ananambia eti baba mkwe ni kama mzazi wako hadaiwi. Nikamwambia mi mzazi wangu tunadaiana vizuri tu. Akabadili tena kuwa baba mkwe usimdai. Hapo nikashangaa. Hadi nchi inadaiwa itakuwa baba mkwe?

Sasa nikaona niulize why baba mkwe hatakiwi kudaiwa ikiwa alikopa? Shida ni nini?
Mkuu hiyo umetoa sadaka usijethubutu kumkopesha hela ndugu wa mkeo mbona kuna uzi kabisaa humu wa hili swala?? Mi yashanikuta nlimkopesha dadaake wife laki 1 ndo mpaka leo japo nliwahi mkumbushia ila hata text ikafika akawa hajibu nkasema vizur sanaaa nkamwambia na wife asitegemee ndugu yake yyte kupata msaada wangu waishie kwake na tangu sikuiyo ndugu yyte wa wife akiomba msaada wa kipesa basi anaambulia ushauri
 
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000.

Akanambia nimwazime 250,000. Nikamwazima. Miezi miwili imekata. Naona amejisahaulisha kabisa. Kila mara namkumbusha kidizaini kwa salamu tu. Naona anajibu kama vile shwari tu. Hagusii kabisa deni.

Sasa mimi nahitaji mkwanja wangu nimeshapeleka watoto shule nahitaji balance hapa home. Nakumbuka hakuomba alisema nimkopeshe. Sasa anajisahaulisha kitu ambacho mi kinanikwaza.

Mimi mtoto wake nililipa mahari cash na sikutaka hata punguzo. So hapa yasije mambo ya baba mkwe ni kama mzee wako. Ndiyo ni kama mzee wangu nami namtreat kama mzee wangu ndo maana nataka kumdai. Mimi hata mdingi huwa tunadaiana vizuri tu Maana alinifundisha dawa la deni ni kulipa tu.

Sasa jana kidogo nimzukie home kwao maana nlikuwa majalala sana but bahati nzuri nikapata ugeni. Ila nawazia leo hii nimfuate ofisini kwake au home. Anipe tu changu.hiyo itanisukuma mpaka tarehe 25.

Nlikuwa naongea na jamaa yangu ananambia eti baba mkwe ni kama mzazi wako hadaiwi. Nikamwambia mi mzazi wangu tunadaiana vizuri tu. Akabadili tena kuwa baba mkwe usimdai. Hapo nikashangaa. Hadi nchi inadaiwa itakuwa baba mkwe?

Sasa nikaona niulize why baba mkwe hatakiwi kudaiwa ikiwa alikopa? Shida ni nini?
Huna akili
 
Unagongamo tu binti yake usiku halafu kilo mbili na nusu unaitolea mishipa ya shingo. Umaskini bana. Wewe mwenyewe masikini umeenda kuoa familia masikini. Shida juu ya shida
 
Wadau kuna siku nipo nafanya service garage fulani mara na baba mkwe naye akatia team amekuja fanya garage hapo hapo. Wametengeneza mara kuna spare inahitajika na amepungukiwa 190,000.

Akanambia nimwazime 250,000. Nikamwazima. Miezi miwili imekata. Naona amejisahaulisha kabisa. Kila mara namkumbusha kidizaini kwa salamu tu. Naona anajibu kama vile shwari tu. Hagusii kabisa deni.

Sasa mimi nahitaji mkwanja wangu nimeshapeleka watoto shule nahitaji balance hapa home. Nakumbuka hakuomba alisema nimkopeshe. Sasa anajisahaulisha kitu ambacho mi kinanikwaza.

Mimi mtoto wake nililipa mahari cash na sikutaka hata punguzo. So hapa yasije mambo ya baba mkwe ni kama mzee wako. Ndiyo ni kama mzee wangu nami namtreat kama mzee wangu ndo maana nataka kumdai. Mimi hata mdingi huwa tunadaiana vizuri tu Maana alinifundisha dawa la deni ni kulipa tu.

Sasa jana kidogo nimzukie home kwao maana nlikuwa majalala sana but bahati nzuri nikapata ugeni. Ila nawazia leo hii nimfuate ofisini kwake au home. Anipe tu changu.hiyo itanisukuma mpaka tarehe 25.

Nlikuwa naongea na jamaa yangu ananambia eti baba mkwe ni kama mzazi wako hadaiwi. Nikamwambia mi mzazi wangu tunadaiana vizuri tu. Akabadili tena kuwa baba mkwe usimdai. Hapo nikashangaa. Hadi nchi inadaiwa itakuwa baba mkwe?

Sasa nikaona niulize why baba mkwe hatakiwi kudaiwa ikiwa alikopa? Shida ni nini?
tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom