Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,579
- 1,080
Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's....
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??
Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI MWANAUME WA WAPI??