Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

Wewe unaweza ukatafuta KIKI kwa kupakuliwa?

Kaanza kujipaka kalikiti kwenye nywele mkasema ni kiki tu.

Akaanza kujipaka lips bam sijui, miasema ni Kiki.

Akaanza kujilamba lips, mkasema ni kiki.

Akaanza kuvaa vi-tshirts vyepesi vyepesi, mkadai ni kiki.

mabega yakapanda juu na kifua kiunuka kwa mbele kidogo, mkadai ni kiki.

Akatamani kuzalishwa na mwanaume mwenzake, mkadai ni Kiki.

Sasa hivi ataka akamtambulishe mwanaume kwao, bado mnadai ni kiki.
Wana mfidua
 
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana.
Jamaa huyo pia alisema yuko tayari kumzalia hata mtoto rais wa wasafi.
Watu wa Kigoma njooni tubishane kwenye huu uzi.
Baada ya kusoma hii hakika mkuu kuna watu hawajitambui
 
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana.
Jamaa huyo pia alisema yuko tayari kumzalia hata mtoto rais wa wasafi.
Watu wa Kigoma njooni tubishane kwenye huu uzi.
Dah..!
Kwa hiyo inamaanisha vijana wa Kigoma ni kawaida kutafunwa ?
Ngoja nijie,
 
Wewe unaweza ukatafuta KIKI kwa kupakuliwa?

Kaanza kujipaka kalikiti kwenye nywele mkasema ni kiki tu.

Akaanza kujipaka lips bam sijui, mkasema ni Kiki.

Akaanza kujilamba lips, mkasema ni kiki.

Akaanza kuvaa vi-tshirts vyepesi vyepesi, mkadai ni kiki.

mabega yakapanda juu na kifua kuinuka kwa mbele kidogo, mkadai ni kiki.

Akatamani kuzalishwa na mwanaume mwenzake, mkadai ni Kiki.

Sasa hivi ataka akamtambulishe mwanaume kwao, bado mnadai ni kiki.
Eeeeeh basi yakheeeee kamaaa yote haya ya kwakeeeee basi aletwe pwani huyoooo atiii tumtieeee kwa nyuma basiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom