Ni chuo cha kati hv huwa n kama sekondar tuHEBU ANGALIENI DESIGNING YA HICHO CHETI, NI MBAYA MNO
KUNA VYUO HAVISTAHILI KUWA VYUO
Tz kila kitu mchongo. Inabidi vyuo vianze kutoa degree za uchawa maana unalipa kuliko hizi degree nyingineWanamuacha Maxence Melo wanapeleka kwa wapumbavu.
Mie tayari ninayo mkuu 😂😂😂Sasa kama ni hivyo hata Kijana wa hovyo hovyo anaweza kupewa
Ras SimbaNi muda muafaka nami nikachukue PhD kutoka Zion
Hivi hata hizi college ambazo hazitoi hata degree zina uwezo wa kumtunukia mtu udaktariMsanii Clayton Chipando maarufu kama Baba Levo amesema kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ametunukiwa "Phd" ya heshima ya Afya, Siasa, Sanaa na Burudani na Chuo cha City College of Health and Allied Sciences. Baba Levo amenukuliwa kwenye mtandao wa instagram akisema
"JANA UONGOZI WA CHUO CHA MADAKTARI @city_college_mwanza_campus ULINIPATIA CHETI CHA DAKTARI WA HESHIMA...!!!
#PHD YA #AFYA #SIASA #SANAA NA #BURUDANI
NISEME NASHUKURU SANA KWA HESHIMA WALIYO NIPATIA..!!
FROM NOW CALL ME DOCTA..!!"
View attachment 2064764
Hivi hata hizi college ambazo hazitoi hata degree zina uwezo wa kumtunukia mtu udaktari
Wamemzagamula wapi
PhD for evelibadeView attachment 2064936
Tz kila kitu mchongo. Inabidi vyuo vianze kutoa degree za uchawa maana unalipa kuliko hizi degree nyingine