Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
Hivi baba unaanzaje kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Binti yako uliyemzaa mwenyewe??nini tatizo uzungu mwingi?au nipepo?
 
Hivi baba unaanzaje kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Binti yako uliyemzaa mwenyewe??nini tatizo uzungu mwingi?au nipepo?

Ukiona hivyo ujue baba hana akili na binti amerithishwa hiyo taahira ya akili kupitia traits...hakuna zaidi ya hapo.
 
Hivi baba unaanzaje kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Binti yako uliyemzaa mwenyewe??nini tatizo uzungu mwingi?au nipepo?

Hiyo itakuwa ni pepo, maana hata wazungu wanajua kuwa incest totally unacceptable.
 
Kwa baba ni tamaa ya kutaka kuonja kila nyama anayoikuta buchani.kwa watoto nadhani ni inferiority ndio huwa tatizo.anakua anamuogopa baba to the extent hawezi kusema hapana
 
Hivi baba unaanzaje kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Binti yako uliyemzaa mwenyewe??nini tatizo uzungu mwingi?au nipepo?

Uzungu? Hapana ndugu wazungu wa wapi hao ambao hufanya hivyo? Huo ni ukichaa. Kwanza inatia hadi kinyaa kufikiria uwezekano kama huo. Watu wa hivyo wanatakiwa kuvishwa straight jackets!
 
labda wanatest DNA za mabinti wao kidogo. dah! na vipi kinamama? wao bado hawajanunua hii software ya kulala na watoto wao wa kiume?
kwa ufupi dunia limeisha, ule uzima wa milele wataupata vipofu na wendawazimu tu, labda na mimi.
 
Kwani mfanya biashara anakula mtaji au faida? Anakula faida. So it's not a big dili kula mayai.
 
kwani hii kitu ipo au ni ya kufikirika tu? lete mfano hapa ndio nitakuelewa vizuri
 
Sio sita tuu ni kati ya familia kumi za kichaga zenye mabinti tisa kati ya hizo familia mabinti hao wanarodoka na baba zao(kurodoka ni kula uroda)amini usiamini na kama kuna mchaga hapa anaebisha abishe mimi nitawapa sababu na data.
 
Back
Top Bottom