Baba kanipa mbinu ya kuishi na mke namshukuru sana

Shinbet18

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
255
252
Morning JF,

Baada ya kuona mateso niliyokuwa napewa na mke siku za nyuma akanipa akili.

Baada ya kutekeleza aliyoniambia nyumba imetulia cha ajabu sijatumia gharama yoyote kweli ukubwa dawa, asante baba yangu.
 
Morning jf.

Baada ya kuona mateso niliyokuwa napewa na mke siku za nyuma akanipa akili.

Baaada ya kutekeleza aliyoniambia nyumba imetulia cha ajabu sijatumia gharama yoyote kweli ukubwa DAWA asante baba yangu
Eeh hebu tupe hayo mautundu, usisahau kapicha
 
Morning jf.

Baada ya kuona mateso niliyokuwa napewa na mke siku za nyuma akanipa akili.

Baaada ya kutekeleza aliyoniambia nyumba imetulia cha ajabu sijatumia gharama yoyote kweli ukubwa DAWA asante baba yangu
Share with us the experience you got from you dady till it went fine with your marriage.... Wanaume huwa hatunyimani mbinu.. Karibu mkuu.
 
Nashindwa kuyaandika hapa kwasababu maneno ni mazito nashindwa tafsida gani niitumie kuelezea
Ukiyaandika unijulishe kiongozi maana natarajia kuingia ndoani mwaka huu au mapema mwakani.
Nipe ujuzi huo
 
1. Usimpe mwanamke ukuu wako manake ata kutawala.
2. Usimuonee wivu mwanamke manake utampa nafasi yaku kudhuru.
3. Mpende mkeo nae aku heshimu.
4. Usiwatenge naku wasahau wazazi wa mkeo naku wakumbuka naku wajali wazazi wako wewe mwanaume, hii humjengea mwanamke hasira na karaha moyoni mwake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom