Baba kalogwa na Mama wa Kambo, nifanye nini?

renamaizo renamaizo

Mkuu kwanza poleni sana, you are not alone in this world Mimi hapa nimewahi kukutana na Jambo kama lako

Sisi Mzee wetu nae alirogwa na mke wake wa pili, walisha achana na kuachan huko ndiko kume mtoa mzee kwnye hiko kifungo alichowekewa na huy mwanamke aliekua nae lakini in accompanied with juhud za Bi mkubwa wetu katika kumtoa Mzee kule aliko kua, Alizaa nae yule mdada na tena inasemekana mtoto sio wake vile vile

Hayo mambo ya kamwaga hela kwa bi mdgo hata huku ilikua ni hivyo hivyo tuu mpaka gari alimnunulia na biashara juu lakin kwa his own first family nothing good alikua anafanya zaidi ya ubabe na sina hela Sina hela nyiingi

WANAUME WENZANGU MUWE MAKINI NA MICHEPUKO YENU SHAURI ZENU, DUNIA TAMBALA BOVU
 
Babako hajalogwa ni mapenzi tu hayo hafu kuwa na adabu kwa usingizi wa babako kijanaHajalogwa kabisa
Kabisa kabisa, hili ndio lile swala la vijana wa kileo kushindwa kuanza maisha au kujitegemea, sijuwi wamekuwa wanaume wa aina gani kwa kweli, baba asile raha yake na kutumia pesa atakavyo kisa eti mitoto bado yahitaji msaada wake?!
Wamuache baba ale maisha mwishoni mwishoni, watoto waende wakapige kazi huko...Bure kabisa vijana kama hawa...
 
Fanya mpango umtapishe hilo limbwata, imeandikwa wanawake tuishi nao kwa kutumia akili. Kila utakachomshauri baba limbwata linamtuma amwambie mkewe. Uwe macho na huyo mama! Ushauri : tafuta mlokole wa nguvu au charismatic (wakatoliki) wapige maombi kumkomboa baba.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni Mtazamo Chanya kutoka kwako. Na mimi naamini Kuna scenario I will agree with people who are divorcing...

Until you can tell me if Job did go back to his first wife(or not)..after the trials.. and if He didn't.. who orchastrated the life of Job after trials!?

If twas GOD, Did HE not see the importance of returning the first wife to demonstrate this Change of heart you are implying!?
Actually, Job's tragic incident proves my point kwamba Mungu anachukia talaka. Vinginevyo angemtalakisha mkewe. Job alielewa kwamba conflict yao imeruhusiwa na Mungu ili kuimarisha mahusiano ya ndoa yao. Ndoa huwa inawaunganisha mke na mme kwa ukaribu sana kiasi kwamba if they divorce, ni kama kumega na kuondoa kipande cha mwili wa mmojawapo -- it is painfully disturbing. Inaacha kovu ya kudumu kuliko adha ya kuendelea kudumu pamoja; na uwezekano wa kila mmoja kustabilize tena kimaisha ni mdogo. The concept of wife and husband forming a bond of union in marriage, siyo tu physical but also spiritual! Couples may choose to severe it at their own temporal & eternal loss.
 
Amen
 
Yani dhambi ya mtu mmoja ina cost watu ambao hawausiki kabisa.. Kaka kama hapo stareh ya baba inawacost watot wa mke mkubwa afu hyo anasema Love is blind we tusubir aolewe afu yey ndo awe mke mkubwa yamtokee haya ndo ataamin adui wa mwanamke ni mwanamke
Yaani wanawake bhana wanalilia haki zao lakini haki za watu wengine Kama wao wanazibana... Na jamaa akifanya masihara na yeye anapigwa kombora mpk aje kustuka kasha isha
 
Hapo wa kulaumiwa ni baba yako, kwanini asingetulia na mke mmoja? Yeye ndo kayataka kuoa wake wengi.
wanaume shida mnajitaftia mwenyewe, wanawake tupo wengi sio kila mmoja atapata ndoa sasa nyie badala ya kutulia na mkeo unatoka nje. Huyo kimada nae anataka kuitwa mke we unaona hapo atafanya nini zaidi ya kukuroga left right and center. Unalala nae unakula chakula anachokupikia. Yani kuna dawa ya kutia kwenye K alafu wewe ukienda pale ukatia dushe lako ndo basi tena huwezi kumuacha huyo mwanamke. Uhuni wenu unaishia kutesa watoto wasiokua na hatia.
 
Dunia Hii..Mbona hatari
 
Mkuu Pole kwa vile umetaka ushauri wa Africa Software.

Nenda mbezi mida saa mbili panda gari za kwenda kibindu nauli ni sh Efu kumi hivyo kwenda na kurudi ni elfu ishirini taslimu.

Fika mwisho wa gari kabisa ambapo utafika majira ya saa tisa mchana ukishuka hapo chukua boda boda au uliza mtu yeyote namuulizia Mzee Kipara .

Ukifika hapo jua kila kitu kimekwisha .

Utanishukuru badae
 
renamaizo renamaizo

Mkuu kwanza poleni sana, you are not alone in this world Mimi hapa nimewahi kukutana na Jambo kama lako

Sisi Mzee wetu nae alirogwa na mke wake wa pili, walisha achana na kuachan huko ndiko kume mtoa mzee kwnye hiko kifungo alichowekewa na huy mwanamke aliekua nae lakini in accompanied with juhud za Bi mkubwa wetu katika kumtoa Mzee kule aliko kua, Alizaa nae yule mdada na tena inasemekana mtoto sio wake vile vile

Hayo mambo ya kamwaga hela kwa bi mdgo hata huku ilikua ni hivyo hivyo tuu mpaka gari alimnunulia na biashara juu lakin kwa his own first family nothing good alikua anafanya zaidi ya ubabe na sina hela Sina hela nyiingi

WANAUME WENZANGU MUWE MAKINI NA MICHEPUKO YENU SHAURI ZENU, DUNIA TAMBALA BOVU
Nashukuru sn kwa mchango wako naomba unipe hzo mbinu mlizotumia kumnasua
 
Mkuu Pole kwa vile umetaka ushauri wa Africa Software.

Nenda mbezi mida saa mbili panda gari za kwenda kibindu nauli ni sh Efu kumi hivyo kwenda na kurudi ni elfu ishirini taslimu.

Fika mwisho wa gari kabisa ambapo utafika majira ya saa tisa mchana ukishuka hapo chukua boda boda au uliza mtu yeyote namuulizia Mzee Kipara .

Ukifika hapo jua kila kitu kimekwisha .

Utanishukuru badae
Ni mganga au ni mzee wa dawa za asili
 
Yaani wanawake bhana wanalilia haki zao lakini haki za watu wengine Kama wao wanazibana... Na jamaa akifanya masihara na yeye anapigwa kombora mpk aje kustuka kasha isha
Jamaa gan uyo atapigwa kombora mm au ? Km ni mm namwomba tu asijaribu maana akithubutu ndio atanipa nguvu ya kufanya kile ninachotaka kufanya ila mengine naamin Mungu atasimamia
 
Na Apo ukimwambia mzee utaonekana mchawi tu Tena huna adabu. mzee vipi ibada zinapanda?
True unafikir io issue ni sir basi ndefu ofisi yote anapofanya kaz mzee wanajua ila wanaogopa kumwambia
 
Mwanaume anayeoa mke mwingine ili hali watoto hawajakomaa na kujitegemea ni selfish,kuvunja family bond kwa kuoa mke mwingine athari zake zinaenda beyond kizazi chake ...watoto kutoka unstable homes (sio wote) wengi huwa wana confidence issues, wana try soo hard to be 'accepted' which means saa nyingine wana fall into wrong groups....tena wengi wanakua na insecurities because of being hunted by their past,sasa usifikirie mtu huyu kutoka kwa environment hii nae ajenge a happy home... na hapo ndipo tunasema athari zimeenda hadi kwa wajukuu wake kwa kuchepuka kwake...
Point yko imegusa sn moyo wangu duh kwel dhambi inaambukizwa maana naona waz kabisa it is real huko mbele tutajenga familia hz hz tu
 
Mkuu Pole kwa vile umetaka ushauri wa Africa Software.

Nenda mbezi mida saa mbili panda gari za kwenda kibindu nauli ni sh Efu kumi hivyo kwenda na kurudi ni elfu ishirini taslimu.

Fika mwisho wa gari kabisa ambapo utafika majira ya saa tisa mchana ukishuka hapo chukua boda boda au uliza mtu yeyote namuulizia Mzee Kipara .

Ukifika hapo jua kila kitu kimekwisha .

Utanishukuru badae
Uchawi haujawahigi kumwacha mtu salama! Yaani mtu karogwa, unataka akarogwe yena!?? You can never solve problems in the same way you created them! Hii janga inahitaji supernatural intervention kutoka kwa Mungu. Period! Habari zinginezo ni utoto mwingi na ujinga kupindukia. If you don't believe in God, it is time now to start your journey of faith. Imagine even the devils believe in God and tremble, but humans don't! Pathetic! Jifunze kuomba mwenyewe. Washirikishe prayer warriors. Washirikishe maaskofu, mashemasi, nk. Total deliverance is just a prayer away!
 
Back
Top Bottom