Baba!Baba! Mdudu huyo, Mwondoeee!!!! Avatar tatu za JF Zawazingua wanangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba!Baba! Mdudu huyo, Mwondoeee!!!! Avatar tatu za JF Zawazingua wanangu.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Apr 13, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Ni hizi avatar za JF. Zipo mbili zinafanana kiasi cha kuwazingua wanangu Fred na Frida. Mojawapo ni ya Yo Yo, na ingine ni ya Kinyerezi. Ukisoma post na michango yao wadudu wadogo weusi wanavinjari kwenye screen yako kushoto. Ndipo wanangu wanaanza kelele 'wadudu hao baba! Waondoe'. Mimi nakaa kimya ila Fred hunyoosha mkono wake ili amfagilie mbali. Lakini anashangaa kuona mdudu haondoki.'Mdudu yuko ndani ya kompyuta yako baba!' Fred hupenda kuniambia na huonya,'watakuharibia kompyuta yako!' Wananishangaa kwa nini nakaa kimya sihangaiki kuwaondoa wadudu kwenye kompyuta. Teknologia hiyo, inawastaajabisha watoto.Lakini najiaandaa kutafuta namna ya kuwaeleza ukweli.

  Ila avatar inayowafurahisha zaidi mpaka wanagaragara chini kwa furaha ni hi ya mwana JF mwenye Id ya Abdullahim. Ni vikaragosi viwili vinapigana na kimoja kikali sana kinamtoa mwenzie utumbo wote. Hii ni sinema nzuri sana kwao.Watasimama pembeni mwangu na kuangalia na kucheka sana.

  Ndo maana nataka kusema hivi: JF kwetu members ni kijiwe chetu cha furaha na pia ni raha kwa watoto/wajukuu zetu.
  Long Live JF!
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  na hii ya babu yao hawaipendi? waambie wasipojitahidi kusoma shuleni wataishia mitaani kama mm babu yao.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jeji...
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  mikatabafeki . . .
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Ya babu haijakaa kitoto kuvutia watoto, na hawaoni jipya kwenye avatar yako kwa sababu hapa walipo wanaishi na babu yao.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,496
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Hii wanaweza kuzimia..
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  ndio. Nshasikia comment yao nilipofungua thread ya Jeji.Mmoja aliniuliza: 'Hicho kimashini kinazunguka kinasaga nini?'
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,496
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Yako vipi inawavutia??
   
 9. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  mikatabafeki ni picha mnato. Haivutii watoto. Labda ungesema Inkoskaz. Hii wanaambiana: 'Huyu mtu hajamaliza mazoezi mpaka leo.'
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,437
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  NA YA mKIMBIZWA KWAO?
   
 11. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Yangu ni shida wao kuiona kwa sababu nafunguaga thread za wengine sio thread zangu. Hata kama wameiona haina mvuto wa kitoto kwa sbb no animation.
   
 12. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Hii id sijaionaga kwenye jukwaa lolote.
   
 13. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu hii inaleta raha. Kumbe Wakati una post thread kwenye JF kumbe madogo wanakuwa pembeni wanaangalia. I bet baadae watukuwa members wa JF. Keep it up!
   
 14. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  duh! Angalia tu mkuu wasiizoee hiyo ya kutoana utumbo. Violence ya kutosha japo animated. Wasije chukua kama sample.
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,419
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Waambie waitazame ya kaka yao hapa, I hope watamfurahia.
   
Loading...