Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

Refer to Dizasta vina- kanisa mp3 player

Nadhani utaelewa nini maana ya neno kanisa, na lengo lake pia.

Nirudishe kwako hoja hii Zero IQ
 
Uharibifu wa Mtu hauhusiani na Kanisa sababu kanisa ni taasisi na Gwajima ni binadamu mwenye mapungufu kama sisi. Hivyo kanisa inabaki kua kanisa tu
Hayo mapungufu ya kibinadamu kisiwe kichaka cha kuficha mambo mabaya ya 'Ngwajima'. Eti si mnasemaga ukisha okoka umeokoka huwezi kutenda dhambi? Aliyempa mamlaka ya kuanzisha kanisa ni nani?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom