Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula Ahudhuria kongamano la Maalim Seif Foundation

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,530
217,791
Huyu ni miongoni mwa Maaskofu wasio na unafiki wowote , hajawahi kuogopa kusema ukweli , hayumo miongoni mwa wanafiki na ni mwenye karama hasa ya Mungu , Waliojaribu kumgusa wote wamepukutika mithili ya majani ya Mkuyu wakati wa kiangazi , kama unabisha jaribu kumuuliza Lazaro Mambosasa .

Sasa watu wa aina hii ya Askofu Mwamakula ndio wanaostahili kumuenzi Maalim Seif , Maana alikuwa Mtu wa aina yao , Wanafiki wengine wote wajitenge na hili .

Katibu_Mkuu_wa_CHADEMA%2C_Mheshimiwa_John_Mnyika_ni_mmoja_wa_washiriki_wa_Kongamano_la_Maalim_...jpg
 
Chadema si mlisema kila atakayehudhuria Hilo kongamano mnafiki Sababu Mama Samia kahudhuria haya Askofu wenu Mwamakula huyo kahudhuria

Any comment please
 
Huyu ni miongoni mwa Maaskofu wasio na unafiki wowote , hajawahi kuogopa kusema ukweli , hayumo miongoni mwa wanafiki na ni mwenye karama hasa ya Mungu , Waliojaribu kumgusa wote wamepukutika mithili ya majani ya Mkuyu wakati wa kiangazi , kama unabisha jaribu kumuuliza Lazaro Mambosasa .

Sasa watu wa aina hii ya Askofu Mwamakula ndio wanaostahili kumuenzi Maalim Seif , Maana alikuwa Mtu wa aina yao , Wanafiki wengine wote wajitenge na hili .

View attachment 2000886
Hutu Mtumishi Mungu ambariki sana
 
Huyu ni Baba Askofu wa kanisa lipi mana yeye na Sheikh Ponda na Niwemugizi kidogo walipaza sauti wakati wa mwendazake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom