Baba angalia kijiti kisiangukie kwako!! sauti toka msoga.

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Watoto Wanacheza mchezo unahusisha kijiti wamekichimbia kwenye mchanga kimesimama wima!!

Kila mshiriki anatakiwa kufukua mchanga kidogo kidogo kuelekea kilipo kijiti.

Mwisho wa mchezo ni pale kijiti kitakapokosa egemeo na kuangukia upande uliofukuliwa mchanga na kubaki shimo.

Kitakayemwangukia anapaswa kukimbia kuwahi kugusa mti ambao huokoa mwili wake usidundwe mangumi.

Wakati mchezo unaendelea kuna mtoto yuko nje ya mchezo nasikia anagutia baba angalia kisiangukie kwako!!!!

Wakati wakiendelea kuufukua mchanga wanaimba "Tule wali tumbakishie baba x2 x2 x2"

Nani kaielewa hadithi hii.
 
Mkuu mimi sijaelewa naomba ufafanuzi kama hutojali..
Mchanga unafukuliwa tartiiiiiibu kuelekea kijiti kilipo, mchanga unafukuliwa upande wa jk na BWM
Tumeambiwa wasiguswe wala kutajwa!!
Mchanga unaisha (habinda seth, Rugemalila.....) kijiti lazima kinaanguka soon na kwa uhakika kinaangukia upande wa jk!!!
Atapopolewaje?
 
Baba Magu naye anafukua
Naye muda wake ukifika ataturejeshea nyumba zetu!!
Hakai ikulu milele.
Kaunda alitupwa lupango na chiluba, chiluba naye zamu lipofika alinyonyonzekwa segerea ya zambia.
Ni swala la muda tu!!!
 
Mchanga unafukuliwa tartiiiiiibu kuelekea kijiti kilipo, mchanga unafukuliwa upande wa jk na BWM
Tumeambiwa wasiguswe wala kutajwa!!
Mchanga unaisha (habinda seth, Rugemalila.....) kijiti lazima kinaanguka soon na kwa uhakika kinaangukia upande wa jk!!!
Atapopolewaje?
poa mkuu nimekuelewa
 
Watoto Wanacheza mchezo unahusisha kijiti wamekichimbia kwenye mchanga kimesimama wima!!

Kila mshiriki anatakiwa kufukua mchanga kidogo kidogo kuelekea kilipo kijiti.

Mwisho wa mchezo ni pale kijiti kitakapokosa egemeo na kuangukia upande uliofukuliwa mchanga na kubaki shimo.

Kitakayemwangukia anapaswa kukimbia kuwahi kugusa mti ambao huokoa mwili wake usidundwe mangumi.

Wakati mchezo unaendelea kuna mtoto yuko nje ya mchezo nasikia anagutia baba angalia kisiangukie kwako!!!!

Wakati wakiendelea kuufukua mchanga wanaimba "Tule wali tumbakishie baba x2 x2 x2"

Nani kaielewa hadithi hii.
Ahahaahahahahahahahahahahahahah mkuu umenichekesha sana, na kunikumbusha mbali sana.
Ila kwenye ili la makinikia naona kuna kila dalili "kijiti" kikaangukia kwenye Pombe.
 
"Kula wali tumbakishie baba"
 
Kijiti kilishamwangukia, watoto wenzake wameamua wasimfurumishie ngumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom