Baadhi yetu wanaccm hatukubali kutengwa na jamii za kimataifa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,158
9,239
Habari

Mimi nikiwa mmoja wa wanachama wa ccm leo nina swali la kizushi,

Hivi hakuna namna ya kuomba jumuiya za kimataifa kuwaadhibu wale pekee ambao watakwenda kinyume na matakwaa yao

Mfano
Hili suala la ushoga limesababisha mamilion ya watz kukosa msaada wa mkopo takriban bilion 700 toka bank ya dunia. Je kwanini asiadhibiwe mhusika mmoja mmoja. kwa mfano Makonda ndio alipaswa aadhibiwe na jumuiya za kimataifa kwa kukiuka makubaliano. awekewe hata vikwazo vya kutosha ili iwe fundisho.Tuziombe jumuiya za kimataifa zisiwaadhibu watz wote kwa kosa la makonda. wala sitetei ushoga bali nasema makonda awekewe vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu
 
Back
Top Bottom