Baadhi ya website zilizotengenezwa na joomla na wataalamu wetu, tizama utoe maoni

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Hizi ni chache tu kati ya ninazozikumbuka zimetengenezwa kwa joomla, zikiwa na poor design na zaidi ya mbili kutumia the same theme (japo haikatazwi) lakini ni vizuri kua serious na kua wabunifu na kufanya angalau nirudi tena kutembelea website yako.........na si kuendekeza ubishi na ukosoaji halafu tunafanya madudu

The National Examinations Council of Tanzania
Ministry of Health and Social Welfare
Public Service Management
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
National Website of the United Republic of Tanzania

naomba list kama unajua zingine:crazy:
 
mkuu kwenye thread yako umeandika kuhusu ukosoaji na wewe mwenyewe hapa unakosoa vile vile.

Sidhani website kama ya NECTA inahitaji superb design sio muhimu sana mi hata iwe na text tupu mi sijali cha muhimu wawe tu server za ukweli na kuondoa utabu wa ku access website yao pindi matokeo yakitoka

design tusiyoitaka sisi ni ile ya kujaza mapicha hadi mtu bundle yake inakwisha kwenye homepage tu
 
Mkuu naona izo website tatu kama wametumia template ya aina moja... Tatizo ni upatikanaji wa izo tenda za kutengeneza websites za mashirika ya serikali..
Ila iyo website ya Necta na iyo ya National Website sidhani kama wametumia Joomla, maana nimejaribu kutumia njia ninazo zifaham ili kutumia teknolojia iliyotumika kutengeneza izo website sijaona kama wametengenezea Joomla, labda unaweza ukanisaidia njia uliyotumia wewe kugundua
 
mirindimo

Kuna kitu sijaelewa hapa ... tatizo ni Joomla au upungufu wa creativity ya Designer mwenyewe?!

Nafikiri labda ungewashauri watengenezaji wetu wangejitahidi kuwa makini katika design zao wanapotengeneza.

Alafu wewe mbona unakosoa za Joomla tu ... kwani mbona kuna nyingine nyingi tu zina makosa ya design lakini hukosoi!

Kwa Tanzania mbona zipo nyingi tu zilizotengenezwa kwa Drupal, Xoops, TYPO3, Geeklog, Mambo, PHP-Nuke, phpWCMS, phpWebSite, Siteframe, Zikula na kadhalika

... mbona na hizo hukosoi wewe umeng'ang'ania Joomla tu au labda ndio hiyo pekee unayoijua kwa kutengenezea web?!
 
mkuu kwenye thread yako umeandika kuhusu ukosoaji na wewe mwenyewe hapa unakosoa vile vile.

Sidhani website kama ya NECTA inahitaji superb design sio muhimu sana mi hata iwe na text tupu mi sijali cha muhimu wawe tu server za ukweli na kuondoa utabu wa ku access website yao pindi matokeo yakitoka

design tusiyoitaka sisi ni ile ya kujaza mapicha hadi mtu bundle yake inakwisha kwenye homepage tu

tena kama heslb na tcu na wao pia waongeze server zao maana hizo site zinazingua mpaka basi..
 
mirindimo

Kuna kitu sijaelewa hapa ... tatizo ni Joomla au upungufu wa creativity ya Designer mwenyewe?!

Nafikiri labda ungewashauri watengenezaji wetu wangejitahidi kuwa makini katika design zao wanapotengeneza.

Alafu wewe mbona unakosoa za Joomla tu ... kwani mbona kuna nyingine nyingi tu zina makosa ya design lakini hukosoi!

Kwa Tanzania mbona zipo nyingi tu zilizotengenezwa kwa Drupal, Xoops, TYPO3, Geeklog, Mambo, PHP-Nuke, phpWCMS, phpWebSite, Siteframe, Zikula na kadhalika

... mbona na hizo hukosoi wewe umeng'ang'ania Joomla tu au labda ndio hiyo pekee unayoijua kwa kutengenezea web?!

hapana mkuu mimi nafanya drupa

hapana mkuu mimi nafanya drupal,joomla,expression engine,datalife,wordpress na yii framework kuna mtu alisema kua jamaa wanaotrain wanacharge expensive na kitu chenyewe joomla,sasa hoja yangu ikawa kwamba ukitaka vitu rahisi na shortcuts vina gharama yake ndio kama hivo poor creativity,topic ilikua imebase on joomla thats why nikaongelea joomla only mkuu wa nchi!
 
Ya kwanza na ya mwisho ni mbaya kwa sababu ya matumizi ya animated GIF na rangi kali sana, hizo zengine ni nzuri hizo theme zinafaa kwa gov/company site ziko neutral na business like.
 
Back
Top Bottom