Nilienda lipia hela ya matibabu ya mgonjwa, nikakuta hiyo counter ya malipo muhusika hayupo, sasa kuuliza wa pembeni yake akajibu.."we si unaona hapo hakuna MTU" na akawa anabenua mdomo kwa dharau na ni staff wa kiume.
Nimesikitika sana hasa ukizingatia eneo lile ni la kutoa Huduma ambayo inabidi iendane na ukarimu na dharau, nikajaribu vuta picha, je ni kweli hayo ni maadili yao ya kazi hapo?? Mtu anajibu kwa dharau kama mimi nilikua naomba msaada, so siri wandugu niliumia sana kidogo tu Nikose staha nimchomoe pale kaunta then nimpeleke maeneo yetu na nianze mpa eXtra drill za kutosha..
Badilikane jamani, Tanzania ni nchi ya upendo, amani na Ukarimu hasa maeneo ya utoaji wa Huduma kwa jamii.