Baadhi ya Watanzania wanafurahia Sana Serikali ya Tanzania inapopatwa na shida

Nadhani hao wanaofurahia majanga ya kutengenezwa yanayoiandama serikali yetu sikivu ni wale waliopatwa na tetemeko kipindi kile kule bukoba
 
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.

Unapangia watu jinsi ya ku-feel?

Mmezuia kila kitu,sasa mnapangia watu na mioyo yao???

Mna matatizo nyie!
 
Hapana katiba inakupa Uhuru wa kufanya lolote lile isipokuwa huvunji Sheria.

Sasa haya malalamiko ya hii makala kuhusu watu na mioyo yao kulikoni?

Kupenda au kuchukia kitu ni haki ya moyo wa mtu!

Waacheni jamani!
 
Umewahi kufikiri au kutafakari sababu ya hali hiyo ni nini?
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.
 
Hawawezi kufurahia serikali kupatwa na matatizo bila sababu... ukiona hiyo ujue kua tatizo mahali...

Rudisha kumukumbu nyuma kwenye majanga kadhaa yaliyowakumba wananchi, na matamshi yapi serikali ilitoa...

Cc: mahondaw
 
Sasa haya malalamiko ya hii makala kuhusu watu na mioyo yao kulikoni?

Kupenda au kuchukia kitu ni haki ya moyo wa mtu!

Waacheni jamani!
Usipende kufurahia mabaya ya mwenzako hata Kama katiba inakupa Uhuru huo
 
Tanzania ipi..

Usichanganye Tanzania na Mataga kile kikundi cha waporaji
 
Hawawezi kufurahia serikali kupatwa na matatizo bila sababu... ukiona hiyo ujue kua tatizo mahali...

Rudisha kumukumbu nyuma kwenye majanga kadhaa yaliyowakumba wananchi, na matamshi yapi serikali ilitoa...

Cc: mahondaw
Serikali ya awamu ya tano alishasema Rais mtakuwa mnasikia mengi ambayo hatukuzoea.na hana maneno matamu mliyozoea huko nyuma.tunatakiwa kubadilika kuanzia fikra mpaka utendaji.Sual la kupiga dili Hilo halipo tena.
 
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.
Mkuu hoja siyo usaliti bali ni kujiuliza kwanini watu wanashangilia serikali kupatwa na majanga? Ukikijua chanzo cha hii kasumba inayoanza kusambaa, basi kizuie hicho chazo!

Nionavyo mimi haya yote ni matokeo ya kuhujumu haki za raia na tabia ya kubinafsisha serikali kwa mtu mmoja ambaye yeye ndo huwa sheria na maamuzi ya uelekeo wa taifa na anaepinga atakacho huoneshwa cha mtemakuni!
 
Nimesomeshwa bure na Serikali ya Mwl,nimepata huduma za afya bure enzi hizo,sasa tuna Sera ya cost sharing,unatolewa jino moja kwa sh 10,000 wakati Marekani watoto wangu wanakosoma kutoa jino moja ni $ 500 au kufanya kitu kinaitwa Root canal kwenye jino ni $ 1200 wakati hapa Tanzania niifanya kwa 400,000.

Serikali inawajali watu wake Sana ila watz baadhi wanajenga chuku kwa Rais Magufuli kutokana na maamuzi magumu anayochukua kudhibiti matumizi mabaya leave maofisa wakubwa wa umma.
Swali langu umelielewa?Nimeuliza hivi; wewe tangu uzaliwe na kupata akili timamu, haujawahi kuona wala kusikia "uovu wowote ule ambao umewahi kufanywa na serikali,"?? Haujawahi kabisa kuona au hata kusikia?

Wewe badala ya kujibu swali, umekimbilia kutoa !maelezo " yenye hoja mfu, mufilisi". Unatuletea habari za enzi za ujima.
Acha fikra mgando za kibinafsi, dunia inakimbia kwa kasi sana.

Kama kweli umesoma kama ulivyosema wewe mwenyewe kwenye maelezo yako hapo juu, basi itakuwa "haujaelimika", endapo kama umeelimika, basi " elimu yako itakuwa haijakukomboa", na endapo kama kama kweli elimu yako imekukomboa, basi itakuwa imekukomboa "NEGATIVELY" na wala siyo "POSITIVELY".
 
Hakuna Serikali inayofanya maovu kwa Rais wake.Usichange wasaliti ndani ya Serikali na Serikali.

Msomi usiyejua hata kazi za Serikali duniani.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom