Baadhi ya Watanzania wanafurahia Sana Serikali ya Tanzania inapopatwa na shida

Mtaelewa tu kuwa siasa za kutukana na kuleta fujo kwa awamu ya tano hazikubaliki.hakuna anayeonewa ila Kila mmoja atapa haki yake.Vyama vya siasa lazima vijue kuwa Kuna Serikali iliyopatikana kwa chama na inatekeleza ilani yake kwa mujibu wa Sheria.

Sasa unapopata mrejesho wa unachofanya unalialia nini?
 
Akitembea na kovu lake wanamsimanga tatizo
Mke ni wako ndani sio wa jamii inayokuzunguka.Wigi sio muhimu wala hata tukilipiga marufuku hakuna atakayekufa kisa amekosa kuvaa nywele za marehemu.Ukigoli wa mke si nywele ni huko chini.
 
Zitaje haki za raia zilizozuiliwa....au unasema tu wapambe wako waamini hivyo.Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria Nini kingine unataka.Na huu mwendo ni mpaka 2025
Nimeamini wewe siyo size yangu kufanya mijadala,,
Hautumii akili kufikilia na kuchakata mambo na kutoa mapendekezo chanya! Umekaa kishabiki, kichama na si kitaifa!
Nakushauri jaribu kuiacha akili yako iwe huru kufikiria, halafu jifunze kutofautisha msimamo wa chama na katiba ya nchi!
Mwnye akili timamu na zilizo huru kufikiria mambo husimamia kwenye katiba ya nchi yake lakini mpumbavu hushangilia kila jambo linalofanywa na chama chake

Kama sisi wanavyotutaka tulipe deni la mkopo wa elimu ya juu, kwa riba ya 15% badala ya 8% na wao walipe madeni waliokopa

Dawa ya deni ni kulipa!,
 
Msingi wa sheria ni kukopa halafu hulipi mpaka mali zako zikamatwe?
Mmmmh! Hakika mkuu huna akili!
 
Kuna Watz wajinga hivyo kwenye mitandao wanaoweza kupotoshwa kirahisi hiviyo?
Kuna vingozi wachache wanaeneza maneno ya kuwaaminisha watz kwenye mitandao inayopenda kuisema Serikali vibaya
 
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.
Chief
umenena njema sana
Ila fahamu,Wajinga ni wengi kuliko idadi ya mchanga
 
Nimeamini wewe siyo size yangu kufanya mijadala,,
Hautumii akili kufikilia na kuchakata mambo na kutoa mapendekezo chanya! Umekaa kishabiki, kichama na si kitaifa!
Nakushauri jaribu kuiacha akili yako iwe huru kufikiria, halafu jifunze kutofautisha msimamo wa chama na katiba ya nchi!
Mwnye akili timamu na zilizo huru kufikiria mambo husimamia kwenye katiba ya nchi yake lakini mpumbavu hushangilia kila jambo linalofanywa na chama chake

Kama sisi wanavyotutaka tulipe deni la mkopo wa elimu ya juu, kwa riba ya 15% badala ya 8% na wao walipe madeni waliokopa

Dawa ya deni ni kulipa!,
Kumbe hasira zako ndiko zinakotokea Bodi ya mikopo.pole sana.Wananchi wanapata hali zao kwa mujibu wa Katiba Wala hakuna haki zinazovunjwa ila wale wote waleta fujo na wasiotaka kufuata utaratibu kisheria mtashughulikiwa tu vyombo vya dola halafu mseme mnaonewa.
 
“Wanaofurahia” wengi ni wale walioonya mapema na kutoa ushauri sahihi lakini Serikali sikivu ikaenda kufanya ilichokatazwa kufanya na mwishowe kupatwa na kile walichoambiwa kitatokea kama watashupaa shingo. Wanaofurahia infact wanataka kusema kwamba wapo vindicated na hao waliopatwa wanapaswa kujifunza kitu
 
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.
kwenye list uliyo nayo ya watu wa aina hiyo kama jina langu limesahaulika, liongeze ndugu!
 
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.

Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.

Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.

Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.

Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.

Msaliti ni nani? anayeficha siri zinazokuja kuigharimu nchi au anayetoa siri zilizofichika ili hatua stahiki zichukuliwe na kuiponya nchi?
Kama kusema ukweli ni usaliti, basi bora niwe msaliti kwa maana hiyo.
Niko tayari kuunga mkono mema yote yatakayofanywa na serikali, lakini siko tayari kuunga mkono maovu hata kama yanafanywa na watu waliopewa mamlaka ya kutusimamia.
 
Kosa kubwa linalofanywa na serikali ya awamu ya tano ni kukazania maendeleo ya vitu na kupuuzia maendeleo ya watu. Unajenga urembo wa flyover, interchange, stiegler, SGR na mandege kama yote huku hujapandisha mshahara wala madaraja kwa watumishi wa serikali. Huu ni ukatili mkubwa sana.

Sasa inakuwa ngumu sana kumuelewa MTU anayesema tufunge mkanda sababu ya miradi ya maendeleo wakat yeye anajipendelea kwa kuing'arisha chato. Yeye alijiuzia nyumba ya serikali lakin hataki kupandisha watu madaraja ili wajenge nyumba zao. Hivyo Mimi sishangai kama watu wanachukulia poa mbwembwe za miradi.
 
Umejaribu kutoa hoja nzuri.nimekuelewa
 
Msaliti ni nani? anayeficha siri zinazokuja kuigharimu nchi au anayetoa siri zilizofichika ili hatua stahiki zichukuliwe na kuiponya nchi?
Kama kusema ukweli ni usaliti, basi bora niwe msaliti kwa maana hiyo.
Niko tayari kuunga mkono mema yote yatakayofanywa na serikali, lakini siko tayari kuunga mkono maovu hata kama yanafanywa na watu waliopewa mamlaka ya kutusimamia.
Hakina Siri zinazofichwa ...taarifa nyingi kwa umma ziko wazi kabisa ila kina Siri za Serikali ambazo zitabaki kuwa Siri tu kwa mujibu wa Sheria.
 
Mficha siri anayeficha siri anapaswa awe siri. Sasa kama anayeficha siri si siri, hamana siri tena hapo.
 
ndiyo njia pekee ya kufichua madhaifu ya awamu hii maana tumezbwa midomo
 
Back
Top Bottom