MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,354
Kumekuwa na Kama desturi Fulani hivi kwa baadhi ya watz pale linapotokea baya lolote lile kwa Serikali yetu ya Tanzania wao Kama vile ni sherehe kwao.
Serikali yetu imekuwa inafanya kazi nyingi na kufanya maamuzi magumu Sana kuhusu namna ya kufufua uchumi wa nchi yetu lakini na kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ili kurahisisha huduma zingine kupatikani kwa urahisi.
Inapotokea Jambo lolote limetokea baya kwa Serikali yetu na wewe Kama mtanzania wa ndani au nje ya nchi inalifurahia basi wewe ni msaliti Kama msaliti mwingine yoyote Yule na hutufai.
Tunatakiwa kuwa pamoja na Serikali na kuunga mkono miradi inayofanywa na Serikali.
Kwa yoyote anayefurahia mabaya yanayotupa basi huyo hafai kabisa kuwa timu mmoja katika kuendeleza nchi yetu.