tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .
Baadhi ya taarifa ni kukosekana kwa Ajib na Mkude na Jana kuachwa kwa Banda na Kevin naona kumezua watz wengi kuandika negatively against Taifa Star.
Na wengi wanaoiombea Tanzania ufungwe tu mechi zote tatu na kurudi nyumbani.
Ni wachache Sana wamekuwa wakitoa maneno ya faraja na kuwapa moyo wachezaji wetu ili wafanye vizuri.
Sijui ni wapi TFF na Kocha Amunike wamekosea kiasi cha baadhi yetu kutoa maneno ya kebehi kwa timu.
Tuwaombee na kuwapa moyo wachezaji na benchi la ufundi wafanye vema huko Misri na iliwezekana warudi na kombe la Africa ili tuweke historia.