Baadhi ya watanzania hawaitakii mema Taifa stars AFCON Misri ...ni kwanini?

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .

Baadhi ya taarifa ni kukosekana kwa Ajib na Mkude na Jana kuachwa kwa Banda na Kevin naona kumezua watz wengi kuandika negatively against Taifa Star.

Na wengi wanaoiombea Tanzania ufungwe tu mechi zote tatu na kurudi nyumbani.

Ni wachache Sana wamekuwa wakitoa maneno ya faraja na kuwapa moyo wachezaji wetu ili wafanye vizuri.

Sijui ni wapi TFF na Kocha Amunike wamekosea kiasi cha baadhi yetu kutoa maneno ya kebehi kwa timu.

Tuwaombee na kuwapa moyo wachezaji na benchi la ufundi wafanye vema huko Misri na iliwezekana warudi na kombe la Africa ili tuweke historia.
 
Hata tusipoitakia mema haiwezi kukwepa mabaya.

Angalia soka la wapinzani wetu wamejikita kwa miguu yote miwili siyo porojo kama hizi zetu. Huwa naumia kuona bendera ya Taifa langu inatunzwa kwenye vyumba vya kubadilisha nguo na haipepei hata nje ya mipaka ya taifa ili kutambulisha taifa huko pia.

Senegal, Algeria na Kenya ni nchi ambazo zimejua rangi haziwezi kusema kuwa rangi nyekundu ni rangi ya moto bali wanasema ni NYEKUNDU (upande wa mpira).

Tukiacha kufanya vitu kwa mazoea tunaweza kucheza mpira ila tuendelea na ya miaka yote lazima tupigwe hata tukikutana na Haiti.
 
Kweli kabisa
 
Sababu;
Moja ushabiki hasa ule wa simba na yanga, soka letu linaharibiwa sana na hizi timu mbili
Mbili uwekezaji mbovu katika soka letu...tunataka mafanikio ya haraka bila maumivu , huu ni ujinga tena ulopitiliza..!! Mafanikio daima hayaji pasipo kuvuja jasho
.viongozi wabovu , hawa nao hamna kitu, huwa wanakuja na lengo zuri ila wakifika madarakani wanakutana na upuuzi so inabidi waendani na mfumo uliopo..yaani kula kula kula then ondoka zako

Nampongeza sana Amunike nahisi anaeza tuonesha kitu kwenye mpira...
 
Maccm wameshajiingiza na kuifanya ni timu ya ccm NUKSI TUPU!, Timu haikuwa na maandalizi ya kutosha wala michezo ya majaribio. Nani ashangilie MIDEBWEDO!?

Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .

Baadhi ya taarifa ni kukosekana kwa Ajib na Mkude na Jana kuachwa kwa Banda na Kevin naona kumezua watz wengi kuandika negatively against Taifa Star.

Na wengi wanaoiombea Tanzania ufungwe tu mechi zote tatu na kurudi nyumbani.

Ni wachache Sana wamekuwa wakitoa maneno ya faraja na kuwapa moyo wachezaji wetu ili wafanye vizuri.

Sijui ni wapi TFF na Kocha Amunike wamekosea kiasi cha baadhi yetu kutoa maneno ya kebehi kwa timu.

Tuwaombee na kuwapa moyo wachezaji na benchi la ufundi wafanye vema huko Misri na iliwezekana warudi na kombe la Africa ili tuweke historia.
 
Kama haijajiandia vizuri itafungwa tu na wenye maandalizi mazuri, waitakie au wasiitakie mabaya.
Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .

Baadhi ya taarifa ni kukosekana kwa Ajib na Mkude na Jana kuachwa kwa Banda na Kevin naona kumezua watz wengi kuandika negatively against Taifa Star.

Na wengi wanaoiombea Tanzania ufungwe tu mechi zote tatu na kurudi nyumbani.

Ni wachache Sana wamekuwa wakitoa maneno ya faraja na kuwapa moyo wachezaji wetu ili wafanye vizuri.

Sijui ni wapi TFF na Kocha Amunike wamekosea kiasi cha baadhi yetu kutoa maneno ya kebehi kwa timu.

Tuwaombee na kuwapa moyo wachezaji na benchi la ufundi wafanye vema huko Misri na iliwezekana warudi na kombe la Africa ili tuweke historia.
 
Maccm wameshajiingiza na kuifanya ni timu ya ccm NUKSI TUPU!, Timu haikuwa na maandalizi ya kutosha wala michezo ya majaribio. Nani ashangilie MIDEBWEDO!?
Na hasa hawa wasaka vyeo ndio chanzo cha migogoro yote , mtu ambaye hajawahi kupiga hata danadana mbili eti leo anajifanya kimbelembele , hii wananchi hawawezi kukubali hata chembe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mashabiki wanaoiponda Stars wana mrengo fulani wa kisiasa lazima ukumbuke hilo hivyo wataponda tu haina haja ya kuwashauri wawashabikie.
 
Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .

Baadhi ya taarifa ni kukosekana kwa Ajib na Mkude na Jana kuachwa kwa Banda na Kevin naona kumezua watz wengi kuandika negatively against Taifa Star.

Na wengi wanaoiombea Tanzania ufungwe tu mechi zote tatu na kurudi nyumbani.

Ni wachache Sana wamekuwa wakitoa maneno ya faraja na kuwapa moyo wachezaji wetu ili wafanye vizuri.

Sijui ni wapi TFF na Kocha Amunike wamekosea kiasi cha baadhi yetu kutoa maneno ya kebehi kwa timu.

Tuwaombee na kuwapa moyo wachezaji na benchi la ufundi wafanye vema huko Misri na iliwezekana warudi na kombe la Africa ili tuweke historia.
Kwanini mkuu wa mkoa mmoja atangaze jezi za taifa zima? Waziri yuko wapi?
 
Wengine hawataisapoti eti kisa watavaa jezi kama za mabingwa wa kihistoria!
 
SIKU WANASIASA WATAKAPOJIWEKA KANDO NA MASUALA YA TAALUMA YA MPIRA NITAKUWA SHABIKI MZURI WA TIMU YA TAIFA. NATAKA JIBU MOJA TU; WIZARA HUSIKA INAMWOGOPA MAKONDA? JE, MAKONDA ALISHAWAHI KUCHEZA MPIRA? KWANINI WASITUMIKE WATU WANAOJUA MPIRA? WAPIGWE ZAIDI YA WAZEE WA HAMSA!
 
tatum;
Wewe ni miongoni mwa wanaJf wanaojua hata kwa ufupi kipi ni kipi nchini.
Tatizo ulilolisema chanzo chake ni TFF kuingiza siasa kwenye soka. Ukiweka wanasiasa kwenye timu yoyote nchini lazima upate upinzani tu. Lakini hebu nikuulize, uliwahi kuona faida yoyote ya siasa kwenye soka? Yaani mafanikio ya soka nchini yatokane na siasa au kwa kuwa wazi yatokane na chama Fulani? Kama ni hivyo kwa nini Chama husika kisianzishe timu yake ya soka muone kama itadumu hata miaka 2!! Yaani kuwepo na CCM au CDM football club uone itakavyonangwa.
Tff ilipaswa kujiweka mbali na siasa za vyama ili kupata support ya Watanzania wote.
 
Back
Top Bottom