Hembu tuwe wakweli kwenye hili,imekuwa kasumba(sijui watanzania ndio tulivyo!) kujadili na kutafuta mwafaka kwa mambo ambayo yameshatokea but ni vigumu kufanya hivyo kwa mambo ambayo hayajawa hot.Wanaharakati wengi na wasomi wenye upendo na nchi hii tunawaona kwenye majukwa pale tu ambapo jambo fulani limeibuka.......nawasilisha.