Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

Pamoja na kwamba jiwe ni mbinafsi, ila kwa hili sioni kama ni kosa. Kwangu huu naona ni utaratibu wa kawaida kuhamisha wanyama kwenda mbuga nyingine. Kwa hili kupitia ubinafsi wake naona kapatia.
Sasa uwanja wa ndege bila kuwa na vivutio hauna maana. Sioni kosa hapo. Rubondo kuna wanyama. Wakiongezea maeneo mengine yenye wanyama ukanda huo kuna shida gani?
Utalii nani kasema lazima uwe Serengeti tu?
 
Ndugu zangu tuwe makini tusije kuamka kesho tukasikia mlima Kilimanjaro unahamishiwa wilaya pendwa, maana hifadhi za wanyamapori zimeanza kuhamishiwa wilaya pendwa.
Nimeona hiyo clip na ninakuwa mgumu kuamini kwamba hapo ni 'chuttle' na hao wanyama wanaletwa hapo toka kungineko. Kama hii ni kweli basi wataalamu watasema yao lakini mimi nitaendelea kuamini zaidi na zaidi kuwa kwa hakika wako watendaji wateule ambao ni wapu.mbavu!
 
Mkuu unachosema kinaweza kuwa sahihi, lakini kwa nini iwe Chato, nasio hifadhi nyingine yeyote nchini?.

Ndugu hii ndio Africa wakati mwingine hayo huwezi kuyakwepa japo kweli yanakera. Kwenye nchi ambayo rais yuko juu ya katiba na sheria hakuna namna unaweza kukwepa. Ili miradi jambo hilo halina athari kwenye haki za binadamu na halikupungizii lolote unalipotezea. Ninachojaribu ni kuangalia positive impact ya jambo hilo, kwangu naona huko mbeleni litakuwa na tija. Narudia tena, kwa hili japo ni la ubinafsi wa wazi lakini rais kapatia.
 
Uko sahihi hasa ubinafsi ndio hoja yamsingi hapa, hasa kwa sasa au kipindi hichi ambapo inaonekana kama kuna baadhi ya maeneo yanapendelewa hasa yanayotoka wakubwa.
 
Kama hii ni kawaida ni jambo jema sana! Sasa kwa nini hii iwe habari?
Watanzania sometimes tunapenda kulalamika bila kufanya uchunguzi na kujudge picha na video za kwenye mitandao,nilikuwa kwenye hiyo mbuga miezi miwili iliyopita na kweli kuna baadhi ya wanyama ambao ni wengi kwenye hiyo mbuga na baadhi kupunguzwa na kuhamishwa kwenye mbuga nyingine mpya,mbuga mpya imefunguliwa,wanyama wanaongezwa ili waende kuzaliana kwenye mbunga hiyo mpya .

Hayo ni maendeleo,kuna misitu mingi sana hii Tanzania na Mapori ambayo bado hazijaitwa mbuga na kuna wanyama wachache mno,,kuongeza wanyama au kuanzisha mbuga mpya ni akili nzuri sana.
Tuangalie hata baadhi ya mbuga za Africa kusini.
Serengeti ina nyumbu zaidi ya million moja na nusu,unaona wivu nyumbu kumi jinsia tofauti kukamatwa na kupelekwa kwenye mbuga mpya?swala wako wangapi mikumi?Twiga wapo wangapi?
 
Umeongea vizuri sana kaka. Kwa sisi wana ikolojia na wanamazingira huu ni mkakati mkubwa na mzuri katika kuhakikisha tunalinda na kuhifadhi ikolojia. Hilo eneo lilikuwa eneo la jumuiya (WMA) so faida zitakazopatikana baada ya kuwa National Park ni kubwa, kwetu sisi wanaikolojia na mazingira tunasema wazo zuri na litasaidia kukuza pia kipato kwa wananchi wanaoishi kando kando ya hifadhi hiyo mpya.

Kama twiga alipanda chopa akaenda SAUDI..sishangai Twiga huyo kupanda lorry kuelekea Chato.
 
Unapoleta habari usilete habari kiushabiki.
Swala la kuhamisha wanyama sio jambo geni wala jipya katika maswala ya ikolojia na uhifadhi.

Na kuweka kumbukumbu sawa, mbuga za taiga zilizotangazwa na TANAPA ni mbili zikitokana na kuunganishwa kwa baadhi ya jumuiya (WMA). Hivyo mbuga zikizoanzishwa ni BURIGI-CHATO NATIONAL PARK na IBANDA-KYERWA NATIONAL PARK. Hivyo kuna baadhi ya wanyama watahamishwa pia kupelekwa Ibanda-Kyerwa itakapobidi, sasa tujiulize kutakua na ubaya au.? au kwa kuwa wamepelekw chato

Rai yangu tusiwe watu wa kuongozwa na hisia bila kuyajua mambo kwa undani wake. Swala la kuanzisha national park husimamiwa na TANAPA na si IKULU.
Ndugu zangu tuwe makini tusije kuamka kesho tukasikia mlima Kilimanjaro unahamishiwa wilaya pendwa, maana hifadhi za wanyamapori zimeanza kuhamishiwa wilaya pendwa.
 
Hayo mambo yanafanywa uongozi wa mbuga upo,magari ya watalii yapo,watu wanaendelea na kazi yao kupiga wanyama risasi za kulala na kuwekwa kwenye matenga na wengi wanaona
Kama hii ni kawaida ni jambo jema sana! Sasa kwa nini hii iwe habari?
 
Traffic light inaongoza punda CHATO
CRDB inahudumia nzi CHATO, tawi hili lilifunguliwa kutokana na utafit aliofanya lais
Airport Chato itahudumia ng'ombe kwa ajili ya malazi
Korosho zinaota ghalani
Pombe alipokuwa Wizara ya ujenzi alisababisha hasara ya bilioni 900..
kanunua madege mengine yamekuwa shaw airport
leo twiga wanaenda kufugwa kwenye migomba..
HAKI YA NANI HIKI KIZEE KIHARIBIFU KAMA CHOTE.
 
Hizi ni jumuiya mbili (WMA) zilizoaunganishwa kutengeneza National Parks hizo mbili
IMG-20190609-WA0066.jpeg
IMG-20190609-WA0068.jpeg
 
Mkuu kufungua mbuga mpya ni maendeleo na idea nzuri,na ni big up kubwa sana
Umeongea vizuri sana kaka. Kwa sisi wana ikolojia na wanamazingira huu ni mkakati mkubwa na mzuri katika kuhakikisha tunalinda na kuhifadhi ikolojia. Hilo eneo lilikuwa eneo la jumuiya (WMA) so faida zitakazopatikana baada ya kuwa National Park ni kubwa, kwetu sisi wanaikolojia na mazingira tunasema wazo zuri na litasaidia kukuza pia kipato kwa wananchi wanaoishi kando kando ya hifadhi hiyo mpya.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom