GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 3,567
- 4,617
Safi sana. Nafarijika kuona hili likitendeka sasa baada ya mapori haya kuwafaidisha majangiri kwa niaka mingi sana. Pamoja na hifadhi ya Burigi, uangaliwe uwezekano wa kuyapandisha hadhi mapori ya Moyowosi na Kigosi yana nafasi kubwa na malisho ya kutosha kwa wanyama. Baadhi ya wanyama hasa Nyati Nyumbu na Pundamilia wahamishwe kwa awamu kupunguza msongamao kwenye mbuga za Kaskazini. Angalizo> Kenya tayari waliishaanza kitambo kwa kufungua mbuga ya Meru na Marsabit.