Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,439
- 50,961
Msafara wanyamapori wakihamishiwa hifadhi ya Taifa ya Burigi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!
!
Tunataka Chato Iwe Jiji
Unamhamisha simba unasahau swalaDuh!
Kazi ipo mwaka huu. Hao wanyama wahakikishe wanapeleka na michepuko yao ili kuwasahaulisha na mazingira mapya, vinginevyo watajua tu kua wako mazingirs mapya na watataka kuhama vinginevyo gharama ya kuwalinda wasikimbie itakua kubwa sana.
Unamhamisha simba unasahau swala
Duh!
Kazi ipo mwaka huu. Hao wanyama wahakikishe wanapeleka na michepuko yao ili kuwasahaulisha na mazingira mapya, vinginevyo watajua tu kua wako mazingirs mapya na watataka kuhama vinginevyo gharama ya kuwalinda wasikimbie itakua kubwa sana.
Kwani nani alisema anataka serengeti B katika kanda mojaMliokuwa mnapinga ujenzi wa airport Chato mnaona hiyo mambo?
Chato inaenda kugeuka Serengeti B