Baadhi ya wanasiasa wamuomba Rais Kenyatta kulivunja Baraza la Mawaziri kutokana na nchi kufilisika

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Kufuatia kushuka kwa daraja kwa nchi ya Kenya kulikotolewa hivi karibu na shirika la "Moody", wanasiasa wa Kenya wameanza kumpa shinikizo rais Uhuru Kenyatta kulivunja baraza zima la mawaziri kwa kushindwa kusimamia vizuri uchumi wa Kenya na kuifikisha Kenya katika hali mbaya ya madeni.

======

On Thursday, May 7, Moody's revised Kenya's credit rating outlook to negative, signalling that its next review could rate Kenya much lower if the situation prevails.

It also warned that the rating meant Kenya was flagged as a country that can easily default loans, which may have an impact on Kenya's borrowing ability as she may be denied loans.

The negative outlook reflects the rising risks posed by Kenya's large gross borrowing requirements.

"While Kenya does not face acute financing pressures, the severe tightening of financial conditions will challenge the government's ability to meet larger gross financing needs without an increase in borrowing costs that would threaten medium-term fiscal consolidation efforts," a statement by Moody's stated.

It also stated disclosed that Kenya has an obligation to pay debts and she may need to spread its payments of external loans.

Amani National Congress politicians, under Musalia Musavadi, heaped the blame on Kenyatta's Cabinet, rather the Head of State himself.

"We as ANC we want to advise President Uhuru Kenyatta to dissolve his entire Cabinet because it has let him down. The Cabinet is not in touch with the problems Kenyans are facing. We are not blaming Uhuru, as ANC, we squarely heap the issue on the Cabinet for failing to advise the president," Lugari MP Ayub Savula stated while addressing the media on Saturday, May 9.

Savula argued that Mudavadi, who once served as Finance Minister, has numerously advised Kenyatta to form an agency that would oversee Kenya's debt.

"Mudavadi has always urged Uhuru to formulate a policy and table it in parliament to create what we call a buffer zone between Treasury and the institution that will manage the debt.

"He has advocated for the creation of an authority to manage debt, dubbed, the Debt Management Authority, which would be independent of the Treasury. The president should create a new cabinet that will work on economic stimuli," Savula proclaimed.

On Saturday, May 9, reports surfaced that Kenyatta was working towards reviving the economy, and was set to appoint Orange Democratic Movement leader, Raila Odinga, as Chairman of the Economic Recovery Team.

Odinga is poised to have an office at Harambee House, which houses Kenyatta's official office, and will also have Cabinet Secretaries, Chief Administrative Secretaries (CASs), Principal Secretaries (PSs) and parastatal heads report to him.

Source: kenyans.co.ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

@zittokabwe

Serikali isiyoweza kuendesha Uchumi wa Chai yenye Sukari au Uji wenye Sukari itaweza kuendesha treni ya Umeme?
Translate Tweet

Image

Image

Image

7:47 AM · May 10, 2020·Twitter for iPhone

BBC News Swahili

Takiban wagonjwa 76 wa virusi vya corona wapatikana katika mpaka huo na Tanzania

Rais wa Zambia Edgar Lungu
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kutokana na hofu ya corona
Serikali ya Zambia imeamrisha kufungwa kwa mpake wake na Tanzania kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona kuanzia kesho Jumatatu tarehe 11 mwezi Mei 2020.
bbc.com
 
wajitekenya!!!
Jamhuridigital

@jamhuridigital

"Miaka 5 mnajenga Reli, Mnajenga flyovers, mnajenga Bwawa la Umeme, mnanunua madege makubwa ma Dreamliner LAKINI hamwezi kumfanya Mwananchi anywe Chai/Uji wenye Sukari! Kwa kuazima maneno ya dada yangu
@halimamdee
hizo ni akili au matope?"
@zittokabwe
Translate Tweet

Image

6:46 PM · May 10, 2020·Twitter for Android
Kila mwaka wakati wa mwezi wa ramadhani,kuna wafanya biashara huficha sukari makusudi ili kutengeneza faida kubwa ukizingatia sukari ni bidhaa muhimu wawa wakati wa mfungo wa Ramadhani.
 
Sgr ilikuwa ifike Moro Novemba mwaka Jana...tupo mei 2020
Subiri tu huu mwaka huu mwaka lazima Kenya na mabeberu mtiii wakati nyinyi mnaongea amjengi vitu vipya sisi project zetu zinapamba moto miladi inakamilika na mingine inaendelea kujengwa na mipya inabuniwa sasa hivi tunaanza project ya gesi yenye thamani ya USA $30Bil

Send by APOLO 1
 
Kila mwaka wakati wa mwezi wa ramadhani,kuna wafanya biashara huficha sukari makusudi ili kutengeneza faida kubwa ukizingatia sukari ni bidhaa muhimu wawa wakati wa mfungo wa Ramadhani.
you can fool some people sometimes but you cant all people all the times!!

"Miaka 5 mnajenga Reli, Mnajenga flyovers, mnajenga Bwawa la Umeme, mnanunua madege makubwa ma Dreamliner LAKINI hamwezi kumfanya Mwananchi anywe Chai/Uji wenye Sukari! Kwa kuazima maneno ya dada yangu
@halimamdee
hizo ni akili au matope?"
@zittokabwe
 
you can fool some people sometimes but you cant all people all the times!!

"Miaka 5 mnajenga Reli, Mnajenga flyovers, mnajenga Bwawa la Umeme, mnanunua madege makubwa ma Dreamliner LAKINI hamwezi kumfanya Mwananchi anywe Chai/Uji wenye Sukari! Kwa kuazima maneno ya dada yangu
@halimamdee
hizo ni akili au matope?"
@zittokabwe
Kwenye tatizo la sukari, Kenya kaeni kimya kabisa, ninyi bila sukari toka Uganda na nchi zingine, hamna uwezo wa kuzalisha hata 30‰ ya mahitaji yenu ya sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunakwambia uhalisia..,wewe unaleta maneno ya khanga.
Uhalisia...pia tunaupata.....
1589226107366.png
 
Kwenye tatizo la sukari, Kenya kaeni kimya kabisa, ninyi bila sukari toka Uganda na nchi zingine, hamna uwezo wa kuzalisha hata 30‰ ya mahitaji yenu ya sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
you can fool some people sometimes but you cant all people all the times!!

"Miaka 5 mnajenga Reli, Mnajenga flyovers, mnajenga Bwawa la Umeme, mnanunua madege makubwa ma Dreamliner......as quoted from
@halimamdee
hizo ni akili au matope?"
@zittokabwe
 
Subiri tu huu mwaka huu mwaka lazima Kenya na mabeberu mtiii wakati nyinyi mnaongea amjengi vitu vipya sisi project zetu zinapamba moto miladi inakamilika na mingine inaendelea kujengwa na mipya inabuniwa sasa hivi tunaanza project ya gesi yenye thamani ya USA $30Bil

Send by APOLO 1
Zambia wamefunga mipaka yao na dona kantri, Rwanda, Kenya na Uganda pia. Vipi ile kauli ya St. John kuwa hamtafunga mipaka yenu majirani wanawategemea
 
Back
Top Bottom