Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,997
- 173,638
Hahahanilishawahi kusoma na mwanafunzi anayeitwa ''SODA MAJANI'' hili jina halitanitoka kamwe.
Hahahanilishawahi kusoma na mwanafunzi anayeitwa ''SODA MAJANI'' hili jina halitanitoka kamwe.
BILA SHAKA NI NDIKUMANA HUYO.Ahahaaa Umenikumbusha O-level alikuja Mwanafunzi tokea Rwanda Sir name yake ilikuwa ni k siku hiyohiyo ameripot tayari alikuwa ashajulikana shule nzima...
🚶♂️🤐Unamuongelea nan "sa.lawa" au
Hii sasa kaliIla lugha asilia kwa baadhi ya maeneo ni kimeo sana. Mfano huyu mnyama jina lake View attachment 935178
bro ulichotaja ni mji maarufu JapaniMimi nilikutana na K Moto Mjapani, kulitamka nilishindwa lakini kwa lugha yao ni poa tu.
Elewa Surnames mara nyingi ni jina la ukoo mtu husika. Mf. Mboro ni ukoo
Huku Manzese Kuna jamaa anaitwa "Kundugeni"
pia maeneo ya Buza nyama choma Kuna dalali anaitwa "Khamis Nguo gani" na mwingine Mtoro wa kufikia wa ma mdogo anaitwa "Dotto Mumewangu"
Hakuna mtoto anapewa surname.... Utapewa first name mengine NI by defaultKumpa mtoto jina kama hayo unakuwa practically umemlaani. Hawezi kusimama siku moja mbele ya watu na kuomba kura kwa nafasi ya uongozi fulani. Hata wenye kuteua hawawezi kumfikiria hata kama ana uwezo. Kuna Balozi wa Zambia aliwahi kupendekezwa na nchi yake kuiwakilisha hapa Tanzania lakini Tanzania ikamkataa kwa sababu jina lake lilikuwa halitamkiki (tusi) katika Kiswahili. Angalau huyo hakuwa Mtanzania. Kuwa na Mtanzania ambaye jina lake ni tusi katika Kiswahili ni unthinkable.
Why some sound offensive?Hakuna mtoto anapewa surname.... Utapewa first name mengine NI by default
Wengine surnames zao zipo Ok maeneo fulani laniki wakihamisha makaxi wakaenda kwingine nfo balaa inapotokea.... mfano Kumah, ukiwa eneo jingine siyo ishu, lakini huyu mtu akihamia Tanzania inakuwa shida kuanzia mashuleni, makazini na kitaaWhy some sound offensive?
Huyu Mboro kawaida huwa nawasikia wakiitwa Mboroo...hii hupunguza ukali wa jina hilo nafikiri kulikuwa na makosa ya kusahau kongeza hiyo "o" maana nasikia ni jina la ukoo huko KiboshoKuhusu mengine sijui, lakini hilo MBORO ni common maeneo ya Kibosho-umbwe. Ndiyo maana ukicheki ni huyo dogo wa Umbwe primary ana hiyo surname.
Hata kaka zao wa sekondari kama Somsom wapo wanaotumia huo ubini. Wengine wamebadili toka Mboro kwenda Mboya.
@duuuuh hii ni hatari sana ndugu yanguHuyu Mboro kawaida huwa nawasikia wakiitwa Mboroo...hii hupunguza ukali wa jina hilo nafikiri kulikuwa na makosa ya kusahau kongeza hiyo "o"