ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 175
Kibosho-umbwe ndio huko KIBORO roni?
Una hoja konki ila umekosea kuweka matokeo hayo
Sasa mkuu, kati ya kiswahili na lugha ya asili ya kabila ni ipi lugha inayounganisha taifa na inaongelewa sana na watanzania??
Ngoja waje mkuu ila mimi surname yangu haina shida
Infantry Soldier umejifunza nini hadi hivi sasa ' Uzi ' wako huu mrefu umekosa hata ' Like ' moja tu?
Elewa Surnames mara nyingi ni jina la ukoo mtu husika. Mf. Mboro ni ukooKumpa mtoto jina kama hayo unakuwa practically umemlaani. Hawezi kusimama siku moja mbele ya watu na kuomba kura kwa nafasi ya uongozi fulani. Hata wenye kuteua hawawezi kumfikiria hata kama ana uwezo. Kuna Balozi wa Zambia aliwahi kupendekezwa na nchi yake kuiwakilisha hapa Tanzania lakini Tanzania ikamkataa kwa sababu jina lake lilikuwa halitamkiki (tusi) katika Kiswahili. Angalau huyo hakuwa Mtanzania. Kuwa na Mtanzania ambaye jina lake ni tusi katika Kiswahili ni unthinkable.
Watu kama hao ni wa kuwapuuza tu mkuu. Fuatilia hata threads zake humu jamiiforums utaona mindset yake ilivyo
Elewa Surnames mara nyingi ni jina la ukoo mtu husika. Mf. Mboro ni ukoo