Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JF. Mimi mdogo wenu nipo mzima pia. Ukiangalia screenshots hapo chini, kuna baadhi ya majina nimefanya highlighting kwa rangi ya orange. Hizo surnames ndio mimi naona ni tatizo kubwa sana. Ninahisi something must be done wakati wa uandikishaji wa wanafunzi.

https://www.google.com/search?client=firefox-b&q=mkundu+site:.necta.go.tz&oq=mkundu+site:.necta.go.tz&aqs=heirloom-srp

https://www.google.com/search?client=firefox-b&q=matako+site:.necta.go.tz&oq=matako+site:.necta.go.tz&aqs=heirloom-srp

IMG_20181112_131849_598.jpg
IMG_20181112_131931_406.jpg
IMG_20181112_131958_275.jpg
IMG_20181112_132019_691.jpg
IMG_20181112_132051_814.jpg
IMG_20181112_132110_156.jpg
IMG_20181112_132143_794.jpg


UTANGULIZI: Aliyewahi kuwa waziri mkuu mzee Mizengo Pinda aliwahi kupendekeza kubadilishwa kwa jina la Kijiji cha zuzu kwa maana halina tafsiri nzuri ya kiswahili.

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda ameiomba Serikali kubadilisha jina la Kijiji cha Zuzu ambacho anaishi - JamiiForums

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ameiomba Serikali kubadilisha jina la Kijiji cha Zuzu.

Aidha, Pinda ameiomba Serikali kukiita Kijiji hicho Zinje, akieleza kuwa jina hilo la sasa halina maana nzuri katika Kamusi ya Kiswahili, ikizingatia wakazi wa eneo hilo ni wachapakazi.

BACK TO THE TOPIC: Leo nilikuwa ninapitia websites zote za serikali kupitia mtandao wa Google kuona kama kuna maneno yoyote yasiyo ya staha ya kiswahili sanifu yaliyotumika ili niweze kupendekeza kwa wahusika wachukue hatua mapema ndio ghafla nikakutana na hili suala la baadhi ya wanafunzi kuandikishwa kujiunga na elimu za awali wakitumia surnames za makabila yao ambazo kwa tafsiri ya kiswahili sanifu yanaleta saaana ukakasi na maana mbaya sana.

Sasa nikawa ninajiuliza itakuwa vipi kama hawa wanafunzi ambao ndio taifa la kesho wakaja kuwa viongozi wa umma (mawaziri, wabunge, mabalozi) je tutaweza kuwaita kwa majina yao?

Mimi sidhani kama litakuwa ni jambo la staha kuwa na waziri ama balozi anaitwa Fredrick Samson Mk*nd au Fatuma Miraj Matak*** na hatuwezi kumnyima mtu nafasi ya uongozi wa juu kabisa wa umma kisa surname yake ina maana yenye ukakasi sana katika jamii.

Wataalam wa Serikali kupitia wizara ya elimu na TAMISEMI wanapaswa kuumiza vichwa kuangalia possible solution ya hii issue kwa maana kwangu naona kama ni tatizo sana la baadae.

Haya ni mawazo yangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.

Wewe mdau unaona ni kipi unaweza kushauri ili tuweze kufanya reconciliation kati ya majina haya ya kiasili na tafsiri za kiswahili kwa viongozi wetu hawa wa baadaye.
IMG_20181112_133526_216.jpg
 
Kumpa mtoto jina kama hayo unakuwa practically umemlaani. Hawezi kusimama siku moja mbele ya watu na kuomba kura kwa nafasi ya uongozi fulani. Hata wenye kuteua hawawezi kumfikiria hata kama ana uwezo.

Kuna Balozi wa Zambia aliwahi kupendekezwa na nchi yake kuiwakilisha hapa Tanzania lakini Tanzania ikamkataa kwa sababu jina lake lilikuwa halitamkiki (tusi) katika Kiswahili. Angalau huyo hakuwa Mtanzania. Kuwa na Mtanzania ambaye jina lake ni tusi katika Kiswahili ni unthinkable.
 
Back
Top Bottom