Baadhi ya wakuu wa takukuru wa mikoani hawako serious kuwanasa watoa rushwa

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,344
Katika chaguzi za ndani za CCM huku mikoani, rushwa imekuwa ikitolewa wazi wazi na sidhani kama maofisa wa TAKUKURU walikuwa hawayaoni haya.

Nadhani maofisa hawa wa mikoa na wilaya hawako commited katika jambo hili katika kumsaidia mheshimiwa Rais kupigana vita ya rushwa.
 
Hujaskia? Siku hizi wanahongwa kwanza hao takukuru ili ukifika muda wa kuzigawa kwa wajumbe, takukuru hawawezi tena kuzishika!:(
 
Mkuu ni kweli..

Lakini hawa jamaa wa TAKUKURU wanafanya kazi zaidi kwa Maelekezo..

Huyu kamata huyu usikamate..

Hiki chombo hakipo Huru.

Mfano: Mkiti wa UVCCM aliyepita Sadifa amekamatwa na wiki hiyo hiyo kapelekwa Mahakamani,kesi imeshaanza (tena kanyimwa na dhamana..)

Mnyeti kwa Rushwa iliyo waziwazi na Ushahidi dhahiri mpaka leo hajakamatwa na amepata promotion. Hii ni kwasababu alichokuwa anakifanya ingawa ni matendo ya rushwa yalikuwa na baraka za wakubwa..

Tanzania haipo serious na hii vita ya rushwa Mkuu.
 
Hili linawezekana na ikifuatiliwa sawa sawa suala la Sadifa na Gulamali utakuta kuna historia ya nyuma iliyowaua.
 
Back
Top Bottom