Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Uchimbaji dhahabu ya Acacia wa migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi wilayani Kahama, wameandamana hadi ofisi za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakitaka kulipwa sitahiki zao baada ya kuondolewa kazini