Baadhi ya Wafanyakazi Regency Hospital wana majibu Mabaya

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
395
197
Kuna baadhi ya vipimo niliambia hospital ya Regency ndo wako vizuri nikaamua kwenda, Hakika najuta kwenda pale kwa huduma mbovu niliyopata, Hawajali muda kabsa na baadhi ya wahudumu wanamajibu mabaya sana.

Unaenda hospital asubuhi na mapema hadi majibu ya full blood picture unaambia njoo kesho.

Pia naona wamezidiwa sana na wateja mwisho wasiku huduma inakuwa mbovu.

Hospital ni ya private na ghali sana pia huduma inatakiwa kuwa bora.
 
Back
Top Bottom