Baadhi ya wafanya biashara wa kibongo acheni ujinga.

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,414
15,929
Good morning ladies and gents,
Wakuu katika pitapita zangu kwenye mtandao pendwa wa Instagram kutafuta wauzaji wa bidhaa za ujenzi nimekutana na kitu kilichoniacha na maswali mengi bila majibu. Hivi inaingia akilini mtu kufungua account ya biashara then ukaiweka private?? seriously? kwanini unataka mtu ili aweze kuona unachouza hadi akufollow? wtf is happening to these lame businessmen/women?. Mbadilike pumbaf.
 
Wanakera hao na ukiuliza bei unaambiwa njoo dm mara njoo watsup napo haupewi jibu refu bali fupi kama waomba msaada vile
 
The F*c is wanataka followers hamna kingine. Kwanza wengi ni matapeli sio wafanyabiashara halali.
 
Naona fulsa ya kuanzisha darasa la watumiaji wa Instagram wenye account za biashara, vinginevyo TUTAWALAUMU sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom