Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Zitto si Mnafiki wala Fisadi Papa Zitto si Mwongo Mkubwa Zitto Si Janga kwa CDM Zitto si Kanga la KitaifaNI UKWELI USIO NA KIFICHO KUWA:
i. Zitto ni mnafiki mkubwa(papa wa unafiki).
ii.Zitto ni FISADI papa.
iii.Zitto ni mwongo mkubwa.
iv.Zitto ni janga kwa CHADEMA.
v.Zitto ni janga la kitaifa.
Amen
But
Zitto amekubali (Pasipo kujua) Kuruhusu CCM imgombanishe na Chama Chake. Do you remember issue ya Buzwagi? Zitto baada ya Kutimuliwa Chama Chake kilimuandalia Mapokezi ya Kishujaa Jangwani.
Zitto bado ni Mwanasiasa Potential sana kwa CDM kama akiamua Akisaidie Chama Chake kuliko anavyofanya sasa.
Last edited by a moderator: