Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now!

Pasco wewe si uko nao wale ma stupid kwa kuonyesha Chadema were stupid kutoka nje leo hao unaowapa majina haya ni wa KAFU au CCM au bado wafa na Chaadema ?
Mkuu Lunyungu, kule mimi nilisema, "it was a mistake", sikusema "stupid mistake". Kama unaamini niko nao, endelea kuamini, tatizo letu humu, ni wengi kuisifu Chadema, hivyo kila anaye critisize Chadema basi au katumwa au ndio wale wele!.

Mbona ninapozungumza mazuri ya Chadema hamsemi?. Leo kwenye kipindi, Chadema imepongezwa na nimesema humu, bado tuu?.
 
Lol! ff sikusomi kabisa kila post upo kupinga..sasa naamini hii Id yako inatumiwa na watu wengi toka magamba (selected.
 
Pasco, sisi hatuji hapa kumchambua mtu kama 'mama wa mtu', tunaongelea utumbo aliongea huko mjengoni. Kuongea utumbo haijalishi kama wewe ni mama wa mtu fulani au la. Tulidhani ni mama mpenda nchi mwenzetu lakini ametusaliti kwa kushabikia, tena kwa maneno ya ajabuajabu, uozo ambao unafanywa na wasioipenda hii nchi. Tuna kila sababu ya kumwambia ukweli kwamba aliongea utumbo.
Ataacha vipi kushabikia, wakati juzijuzi ameenda @NYC kwa hela za serikali yenu zisizo na udhibiti?...
Mzee mwenyewe baada ya kurudi toka @NYC, kabla hata ya kupumzika akatoka kwenye Media akishauri magamba yasifanye mzaha na upinzani!
Msi'underestimate ujasiri anaopata mtu akikatiwa keki ya SIRIKALI bana!...huh!
 
Kwani ukiwakilishwa Bungeni ndio wanaujadili wananchi? ni juzi juzi tu hapa tulikuwa hatujuwi bungeni kinaendelea nini, leo si bahati yetu tunarushiwa live.
Wakati ule tulikuwa na utawala wa kidikteta na maamuzi yaliyochukuliwa na CCM tulifuata kwa sababu wakati huo tulikuwa kama kondoo kutoka utumwani... Tv dollar 400 nani angeweza kuinunua wakati msomi aliyesifiwa alimaliza darasa na nane..Hivyo tulihitaji mfumo wa kidikteta wasomi wenyewe walikuwa wangapi? - Hawajai hata mkononi na hao ndio walikuwa bungeni..
Kuchamba na maji ya kopo haina maana hakukuwa na ustaarabu ati kwa sababu siku hizi kuna Toilet paper!! - Halooo.
 
It just goes to show, we have a government led by hyenas whose priorities lie somewhere else. Those hyenas spend millions of shillings of tax payers money hosting the useless Tanzania we want con-meeting plus a billion shillings purchasing and doing up Hekalu kama nyumba ya mama anaeongoza bunge yet there is no money to buy fire trucks, ambulance etc! It is a shame.
 
Mkuu Mkandala, kwenye mjadala huo, wamemshutumu sana Madam Speaker kwa kuplay double standards!. Nkirudi kwa mama K, kumbe hukujua anaweza kuongea ...ule?!, basi huyo uliyemsikia ndie yeye haswa, halisi!. Naomba lets spare her kwa vile ni mama wa mmoja wa members waandamizi na wamiliki wa jf, hivyo kwa heshima ya mwenzetu, naomba tumstahi mama, maana akishuka humu mwenywe, vita vyake huwa haviishi!.

tunaweza kumstahi mama lakini ni vizuri ajue kuwa ame-dissapoint wengi wetu tuliokuwa tumeweka matumaini yetu makubwa kwake, ameshusah hadhi yake kupitiliza
 
Wanabodi,

Wenye access na TV, Please watch TBC-1 Now!.

Hiki ni kipindi cha "This Week in Perspective", kinachoendeshwa na Mzee Adam Simbeye.

Mada ya leo ni Performance ya Kikao cha Bunge kilichopita!

Ma panelist ni Sakina Datoo, Finigan wa Simbeye, Hassy Kitine na Prof. Lwaitama.

Kipindi ni moto wa kuotea mbali haswa kwa kuzingatia kinarushwa na TBC!, they call a spade a spade!.

Miongoni mwa nondo zilizomwagwa ni

Baadhi ya Wabunge wa bunge letu are very Stupid!, their stupidity ilionekana kwenye michango yao kuchangia muswada wa katiba!

Tanzania haina uhuru wa kweli, wala Demokrasia ya kweli!,

Bunge letu sii bunge chochote, wala lolote, ni just a Rubber Stamp ya mahitaji ya serikali!

Mgomo wa Chadema kususia mjadala, wapongezwa!

Endeleeni kuangalia!

Endelea kufuatilia

Update 1
Kipindi kimemalizika!

unakumbuka kwenye uzi wako wa jpili iliyopita uliwakandia sana cdm na ukawa unabishana na mwanakijiji? Ni jambo jema umepata kufunuliwa
 
Mgomo wa Chadema kususia mjadala, wapongezwa na huyu Binti Sakina Datto, akasema kwa vile Chadema ni minority, mara nyingi minority huwa wanaburuzwa na majority, kwa vile wao walionyesha kuupinga ila spika ndiye aliwabania, wangebakia, wangehalalisha huo muswada ambao ni illegitimate, kuliko kuonekana wao ni sehemu ya uchafu ule, kususia ndio kunawa mikono mbele ya wananchi.

Ila alikwenda mbali zaidi ambako ndiko kulikofanya maandamano ya wanaharakati yapingwe marufuku. Aliwasifu Chadema kuwa wanajua kwenda na wakati kwa kutazama trend ya kinachoendelea sehemu mbalimbali kuhusiana na nguvu ya umma, hivyo Chadema walisusa kama tactic, ili baadae waje wawashitaki walioupitisha kwa umma ili nguvu ya numma iingie kazini!.

Thank God, hawawashitaki, bali wameomba suluhu ya mazungumzo!. Ktengo cha JK kukubali haraka haraka vile, ni ishara tosha anajua kitu ambacho kingefuatia!
 
Mkuu Pasco hali ya hewa kisiasa na uhuru wa vyombo vya habari uko vizuri kwa sasa tofauti na kipindi kile unaendesha Kipindi cha KITI MOTO. Swali langu kwa nini usikirudishe tena hicho kipindi tuweze kuwahoji viongozi wetu.
 
unakumbuka kwenye uzi wako wa jpili iliyopita uliwakandia sana cdm na ukawa unabishana na mwanakijiji? Ni jambo jema umepata kufunuliwa
Pasco hajakosea alichosema TL hakutakiwa hata kutoa hotuba.. Angepinga moja kwa moja...

Lakini yeye kujaribu kuhutubia bunge na kweli ktk maelezo yake alizungumzia hili la muswada usomwe mara ya kwanza na sii ya pili (urudi kwenye kamati) lakini ndio hivyo tena..
Sasa nadhani najua wapi kuliwachanganya wabunge wa Upinzani...
 
Mgomo wa Chadema kususia mjadala, wapongezwa na huyu Binti Sakina Datto, akasema kwa vile Chadema ni minority, mara nyingi minority huwa wanaburuzwa na majority, kwa vile wao walionyesha kuupinga ila spika ndiye aliwabania, wangebakia, wangehalalisha huo muswada ambao ni illegitimate, kuliko kuonekana wao ni sehemu ya uchafu ule, kususia ndio kunawa mikono mbele ya wananchi.

Ila alikwenda mbali zaidi ambako ndiko kulikofanya maandamano ya wanaharakati yapingwe marufuku. Aliwasifu Chadema kuwa wanajua kwenda na wakati kwa kutazama trend ya kinachoendelea sehemu mbalimbali kuhusiana na nguvu ya umma, hivyo Chadema walisusa kama tactic, ili baadae waje wawashitaki walioupitisha kwa umma ili nguvu ya numma iingie kazini!.

Thank God, hawawashitaki, bali wameomba suluhu ya mazungumzo!. Ktengo cha JK kukubali haraka haraka vile, ni ishara tosha anajua kitu ambacho kingefuatia!
Lakini mkuu wangu mbona hata huku kuna wakati wabunge hu walk out? ni sababu zipi hasa hufikia watu ku walkout na ikahesabiwa vema.
 
unakumbuka kwenye uzi wako wa jpili iliyopita uliwakandia sana cdm na ukawa unabishana na mwanakijiji? Ni jambo jema umepata kufunuliwa
Raia Fulani, hoja za kwenye uzi ule baadhi zinasimama mpaka kesho, ila ile ya Chadema, nilishakubali kule kule kuwa Chadema sio wa kulaumiwa, wa kulaumiwa ni wale ambao tuliwategemea waupinge, lakini hawakutimiza wajibu wao. Walikokuwa na jukumu la kupinga ni mbunge yoyote. Kama tegemeo letu lilikuwa ni kwa CCM ndio wapinge, basi lawama ziende kwao. Hata mimi nazidi kujifunza humu, kuna vitu kuhusu Chadema, usithubutu kuvi chalenge, watakushukia!
 
Mgomo wa Chadema kususia mjadala, wapongezwa na huyu Binti Sakina Datto, akasema kwa vile Chadema ni minority, mara nyingi minority huwa wanaburuzwa na majority, kwa vile wao walionyesha kuupinga ila spika ndiye aliwabania, wangebakia, wangehalalisha huo muswada ambao ni illegitimate, kuliko kuonekana wao ni sehemu ya uchafu ule, kususia ndio kunawa mikono mbele ya wananchi.

Ila alikwenda mbali zaidi ambako ndiko kulikofanya maandamano ya wanaharakati yapingwe marufuku. Aliwasifu Chadema kuwa wanajua kwenda na wakati kwa kutazama trend ya kinachoendelea sehemu mbalimbali kuhusiana na nguvu ya umma, hivyo Chadema walisusa kama tactic, ili baadae waje wawashitaki walioupitisha kwa umma ili nguvu ya numma iingie kazini!.

Thank God, hawawashitaki, bali wameomba suluhu ya mazungumzo!. Ktengo cha JK kukubali haraka haraka vile, ni ishara tosha anajua kitu ambacho kingefuatia!
Pasco,
We should not bank on that!
Who knows Jakaya atapokea vipi hoja za Cdm!...Labda niseme kwa lugha kama ya kejeli kwamba "you'll never know with a woman"!
Mimi nategemea lolote, especially baada ya akina NAPE kupenyeza rupia zao!
Anyway, time will speak louder!
 
@ FF- Always suffering from inferiority complex! Grow up mama! You can never take the place of CDM, its time you got treated for the CDM trauma in you! You'll die from bitterness for nothing! Wapishe Great thinker watushushie data.
 
Mkuu Pasco tunashukuru kwa updates wengine huku hatuna access ya Tbc...by the way wht is ur commentr kwa huo mjadala?
Mjadala ulikuwa mzuri lakini haukubalnce, Kitine kajitambulisha kama mwana CCM, lakini alikuwa anapiga nyundo kwa kwenda mbele. Dr. Lwaitama anajitambulisha CCM mfu, hivyo ni nyundo tuu, Finigan wa Simbeye yuko Daily News alionekana muoga muoga fulani hivi, mtu ambaye who stole the show ni Sakina, kila hoja akiishusha anaishusha kama hard facts with evidence. Afadhali walikuwa wanazungumza Kiingereza, hivyo wanaofuatilia kipindi hiki ni the elite class, ingekuwa ni lunga ya Kiswahili, kipindi, kingesimamishiwa katikati!
P
 
Mara nyingine natamani kungekuwa na spika asiye mbunge tena asiye na chama.Awepo pale kuongoza mjadala tu kwa maslahi ya taifa na si chama.Inaleta taabu kuwa na spika halafu siku chache baada ya bunge kuahirishwa anonekana kwenye NEC ambako moja ya maazimio ni kupongeza bunge kwa kusimamia upitishwaji wa muswada wa katiba.Inakuwa ngumu kuamini kuwa spika kama huyo angeungana na upinzani ili akapondwe NEC hata kama upinzani wangekuwa na hoja nzuri kiasi gani.
NASISITIZA SPIKA ASIWE MBUNGE WALA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA
 
Back
Top Bottom