Baadhi ya Waandishi wanateketeza Demokrasia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya Waandishi wanateketeza Demokrasia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mchau, Sep 26, 2010.

 1. m

  mchau New Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikitishwa sana na baadhi ya magazeti kutoa habari za uchaguzi kwa upendeleo Nimefuatilia upande wa picha UPINZANI FRONT page ni mgombea na watu 5 mpaka 7
  chama tawala Mgombea na mamia ya watu, Kitendo hichi kinakatisha tamaa.waandishi mtaweka wapi sura zenu
   
Loading...