Baadhi ya wa ccm wafurahia ukawa kuwepo.

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Wanachama wengi wa ccm wametambua umuhimu wa kuwepo na upinzani Tanzania na wameona faida zake. Kwa maoni ya walio wengi wanao ni vizuri kwa sababu tayari kuna vyombo vinavyo ikosoa serekali na pia inapotokea uzembe kwa ccm au uonevu sehemu ya kukimbilia na kukemea.
 

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Naomba mniamini, CCM mwisho wake ni Oktoba....
Kweli kabisa, sijaona anayetoka upinzani na kwenda ccm. Zaidi ataingia chama kichanga cha upinzani ama kuanzisha chake. Ila kutoka ccm kuja vyama vya upinzani ni wengi sana kila kukicha. Naamini maneno yako mwisho ccm ni october mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom