Story of Change Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Jun 15, 2020
187
500
Karibuni Sana
kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo.

Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~

BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU KABLA YA KIFO CHANGU.

1. Maisha hayapo fair, hayajawahi kuwa fair na hayatokuja kuwa fair, that said huna sababu yoyote ya kuwa fair utakuwa mpumbavu kama unategemea dunia ikuchekee kwa sababu wewe unaichekea, ni sawa na kutegemea simba asimtafune kondoo kwa sababu kondoo hakumtafuna simba.

2. Chochote unachofanya hakikisha unakuwa imara kuliko mtu mwingine yeyote, nature itakulipa kwa uimara wako, nothing less Climb to the top of the pyramid, ukishindwa basi hakikisha upo katika circle ya watu hao. Usijiassociate na losers, utakuwa mmoja wao na utakufa kama ulivyozaliwa.

3. Usitegemee kuwa at the top of pyramid kama unabehave sawa na kila mtu aliye chini ya pyramid. Kila mtu aliye at the top of the game haijalishi field gani; corporate, politics, business, leadership, military n.k. hakuwahi kuwa mpole. You gotta be f* ruthless, selfish and mean.

4. Duniani kuna 1% tu ya cream hybrid na 99% ya kila mtu mwingine kama ilivyo kwenye law enforcement, kila mtu ni innocent unless proven guilty, pia kwenye maisha at any time assume kila mtu ni kilaza unless ajiprove kuwa sio kilaza. So, usipoteze muda na watu bcoz wengi ni 99%5. Kama huna thamani yoyote kila kitu kingine utakachoshauriwa ni upumbavu. Hata uwe na network imara kiasi gani, kama thamani yako ni ndogo hiyo network inakua kama kivuli tu 1st thing jipe thamani kwa kudevelop specific skill na maarifa. Hizi ni skills ambazo 99% ya watu wengine hawana.

5. Ukitaka watu wakupende waweke juu yako, jifanye wewe ni mjinga na wao ni bora zaidi yako, waache watafune Ego ila Ukitaka watu wakuchukie washushe, expose their ignorance, waambie ukweli wasiotaka kuambiwa But either way, kupendwa ama kuchukiwa kama huingizi hela it's stupid.

6. Kama unataka kutajirika usitatue matatizo ya asili (natural challenges) tatua matatizo ya watu ya kujitakia. Why? Bcoz haya matatizo ni scalable since ujinga ni universal. Acha kutibu mapafu bcoz ni natural challenge, uzia watu cheap dopamine kama sigara wajinga wengi watavuta tu. Ukitaka kuamini kuwa ujinga ni universal angalia vitu gani vinakuwa popular zaidi duniani, vitu kama tiktok, videos za vimbwa na vipaka, keeping up with the Kardashians, memes, ulevi n.k. Kama huwezi kuona hela katikati ya wajinga then you are one of them na yupo mtu mmoja atapiga hela.

7. Life begins at 30 au at 40 ni njia ya mtu aliyechezea muda wake kujifariji. Maisha yanaanza immediately ukishapata akili timamu, kama hiyo akili timamu unaipata at 40 kuna shida sehemu (The earlier the better) kwa sababu hutokula cream ya cake kama wewe ni late boomer. Imagine unafika miaka 45+ na bado unalilia Serikali ikusaidie na upo confident kabisa unatukanana na viongozi, miaka yote tangu ufikishe 18 yrs ulikua wapi? Hujajisaidia wewe kama wewe as an individual, unategemeaje usaidiwe na mume au baba wa mtu. Maisha ni kujibeba sio kubebwa.

8. Ni sawa kufikiri tofauti na kila mtu. Actually ni jambo zuri zaidi because watu wengine watakuona kichaa na mara nyingi kila mtu akikuona hivyo basi uko safe zaidi Steve Jobs alijisemea "The people who are crazy enough to think they can change the world are the ones who do".

9. No matter what USIJIRAHISISHE. Command your demand by being RELATIVELY scarce Think! Kila mtu duniani anahitaji maji ili aishi lakini hakuna mtu anayehitaji Tanzanite ili aweze kuishi Lakini cha kushangaza Tanzanite ina thamani mara milioni ya maji, kwa sababu maji yamejirahisisha. Hata kama unafanya kitu chenye kuhitajika kiasi gani, kama mtu yoyote anaweza kukupata muda wowote anaojisikia basi unakuwa huna thamani kama maji tu. Hata kama unafanya kitu cha ovyo kiasi gani, kama watu hawawezi kukufikia kirahisi basi thamani yako inapanda mpaka mawinguni kama Tanzanite.

10. Maisha ni 'zero sum game' ili mtu mwingine apate LAZIMA mwingine apoteze. Mimi na wewe tunaweza kutembea kutoka hapa mpaka Kigoma na tusiokote hata Shilingi 100, lakini kila siku utasikia kuna mtu anasema 'nimepoteza hela' Hizo hela hazijapotelea barabarani, mferejini au baharini. Hizo hela zimehamia kwenye mfuko wa mtu mwingine. So mifuko yako lazima iwe sumaku ya kuvuta hela. Hela zikipotea zipotelee mifukoni mwako. Hivi ndivyo matajiri wote duniani wanafanya bila kujali industry, Medical industry ni hatari zaidi utauziwa ugonjwa at a premium price.

11. Hakuna kitu kama "vumilia tu hivyo hivyo mambo yatanyooka" ukweli ni kwamba mambo yatazid kuwa magumu naturally kadri siku zinavyosogea. U have to show up hata mambo yawe magumu vipi, usijifariji kwa maneno bali vitendo, crazy people still made fortune during the great depression.

12. Huwezi kutajirika kwa kuwa smart, IQ kubwa, well connected, maarufu, mtata, mpole, GPA kali n.k. Njia pekee ya kutajirika ni kuongeza value ktk maisha ya watu. Remember, sio kila value unayouza itakutajirisha, value pekee itakayokutajirisha ni ile ambayo ina 'fast scalability'.

13. Hii Dunia haijawahi kuwa na Uhaba wa watu wapumbavu, utahitaji kuwaepuka ili uwe more productive. Utachelewa sana kufanikiwa kama utaruhusu kusikiliza kila kinachoingia masikioni mwako, ukijua kuchuja takataka you're almost halfway. Vivyohivyo utawahi kufanikiwa kama ukiwa na uwezo wa kudeal na mapungufu ya watu wengine. Uhodari wako utapimwa katika uwezo wako wa kukabiliana na vita unayopigwa uanguke.

14. Katika kuutafuta utajiri hakikisha unafanya kila kitu at 99.9% integrity. Usisababishe madhara, usiharibu maisha ya watu, usiwe na kona kona, kama kuna sheria unavunja ivunje kihalali. Y? Because there's ALWAYS a bigger fish than you, usiponyooka utanyooshwa na hutaenjoy hiyo process.

15. Watu watakuumiza all the time una option mbili tu (2), usamehe kabisa 100% au ulipize kisasi kitakatifu. Msamaha ni ibada pia kisasi ni ibada. Chagua 1, ukikaa hapo katikati I guarantee ipo siku utajilaumu.

16. Asubuhi, mchana usiku tengeneza pesa zaidi, hakuna kiwango cha pesa kinachotosha. Pia nitamsisitizia mwanangu kuwa kadri pesa zinavyoongezeka ndio matatizo yanaongezeka, maadui, chuki, wivu, husda n.k. so lazima awe emotionally stable Kwanini nitawasisitizia sana wanangu kuhusu pesa/utajiri? Kwa sababu hakuna heshima, umaridadi, ushujaa au ufahari wowote katika umaskini. Kimsingi fedha ni jawabu la mambo yote ~ Mhubiri 10:19
,,,,,,
 
Upvote 35

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,568
2,000
Ni ukweli usiopendwa kusemwa mara kwa mara.

Ni ukweli ambao tunauamini mioyoni mwetu ila tunaukwepa machoni pa watu.

Ni ukweli ambao wengi tunapenda kuufanya ila woga wa kuogopa nani atasema nini unatutafuna sana.

Ni ukweli ambao wale wanaofaidika nao hawapendi watu wengine waujue.
 
mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
764
1,000
11. Hakuna kitu kama "vumilia tu hivyo hivyo mambo yatanyooka" ukweli ni kwamba mambo yatazid kuwa magumu naturally kadri siku zinavyosogea. U have to show up hata mambo yawe magumu vipi, usijifariji kwa maneno bali vitendo, crazy people still made fortune during the great depression.
Unamaanisha nini hapo kwenye sentensi ya mwisho ya Kiingereza?
 
bongly

Member
Feb 22, 2013
47
150
Hahahah Akili ipo kichwani Mungu yupo Moyoni na Pesa ipo Mfukoni Mkuu
Mkuu,naomba utambue thamani ya vitu ambavyo ni "priceless...kama amani,furaha na upendo"..... Yote Tisa naona kama unataka nimfundishe mwanangu mambo ambayo hata wewe huyafati.Kwa mfano umesema una Mungu Moyoni na akili kichwani....ila mwanao unataka awe na mahera mfukoni,utu =O,na akose amani maana unataka alipize visasi....
Kwa bahati nzuri au mbaya kuna great thinkers watakaokupa votes....
Samahani kwa mtizamo wangu...hii story of change unayoileta haina tamaduni na hofu ya Mungu.
All the best....na watoto wenu...learn to balance the body,mind and soul...wealth and power.
 
msana

Member
Jul 29, 2015
58
125
Karibuni Sana
kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo.

Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~

BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU KABLA YA KIFO CHANGU.

1. Maisha hayapo fair, hayajawahi kuwa fair na hayatokuja kuwa fair, that said huna sababu yoyote ya kuwa fair utakuwa mpumbavu kama unategemea dunia ikuchekee kwa sababu wewe unaichekea, ni sawa na kutegemea simba asimtafune kondoo kwa sababu kondoo hakumtafuna simba.

2. Chochote unachofanya hakikisha unakuwa imara kuliko mtu mwingine yeyote, nature itakulipa kwa uimara wako, nothing less Climb to the top of the pyramid, ukishindwa basi hakikisha upo katika circle ya watu hao. Usijiassociate na losers, utakuwa mmoja wao na utakufa kama ulivyozaliwa.

3. Usitegemee kuwa at the top of pyramid kama unabehave sawa na kila mtu aliye chini ya pyramid. Kila mtu aliye at the top of the game haijalishi field gani; corporate, politics, business, leadership, military n.k. hakuwahi kuwa mpole. You gotta be f* ruthless, selfish and mean.

4. Duniani kuna 1% tu ya cream hybrid na 99% ya kila mtu mwingine kama ilivyo kwenye law enforcement, kila mtu ni innocent unless proven guilty, pia kwenye maisha at any time assume kila mtu ni kilaza unless ajiprove kuwa sio kilaza. So, usipoteze muda na watu bcoz wengi ni 99%5. Kama huna thamani yoyote kila kitu kingine utakachoshauriwa ni upumbavu. Hata uwe na network imara kiasi gani, kama thamani yako ni ndogo hiyo network inakua kama kivuli tu 1st thing jipe thamani kwa kudevelop specific skill na maarifa. Hizi ni skills ambazo 99% ya watu wengine hawana.

5. Ukitaka watu wakupende waweke juu yako, jifanye wewe ni mjinga na wao ni bora zaidi yako, waache watafune Ego ila Ukitaka watu wakuchukie washushe, expose their ignorance, waambie ukweli wasiotaka kuambiwa But either way, kupendwa ama kuchukiwa kama huingizi hela it's stupid.

6. Kama unataka kutajirika usitatue matatizo ya asili (natural challenges) tatua matatizo ya watu ya kujitakia. Why? Bcoz haya matatizo ni scalable since ujinga ni universal. Acha kutibu mapafu bcoz ni natural challenge, uzia watu cheap dopamine kama sigara wajinga wengi watavuta tu. Ukitaka kuamini kuwa ujinga ni universal angalia vitu gani vinakuwa popular zaidi duniani, vitu kama tiktok, videos za vimbwa na vipaka, keeping up with the Kardashians, memes, ulevi n.k. Kama huwezi kuona hela katikati ya wajinga then you are one of them na yupo mtu mmoja atapiga hela.

7. Life begins at 30 au at 40 ni njia ya mtu aliyechezea muda wake kujifariji. Maisha yanaanza immediately ukishapata akili timamu, kama hiyo akili timamu unaipata at 40 kuna shida sehemu (The earlier the better) kwa sababu hutokula cream ya cake kama wewe ni late boomer. Imagine unafika miaka 45+ na bado unalilia Serikali ikusaidie na upo confident kabisa unatukanana na viongozi, miaka yote tangu ufikishe 18 yrs ulikua wapi? Hujajisaidia wewe kama wewe as an individual, unategemeaje usaidiwe na mume au baba wa mtu. Maisha ni kujibeba sio kubebwa.

8. Ni sawa kufikiri tofauti na kila mtu. Actually ni jambo zuri zaidi because watu wengine watakuona kichaa na mara nyingi kila mtu akikuona hivyo basi uko safe zaidi Steve Jobs alijisemea "The people who are crazy enough to think they can change the world are the ones who do".

9. No matter what USIJIRAHISISHE. Command your demand by being RELATIVELY scarce Think! Kila mtu duniani anahitaji maji ili aishi lakini hakuna mtu anayehitaji Tanzanite ili aweze kuishi Lakini cha kushangaza Tanzanite ina thamani mara milioni ya maji, kwa sababu maji yamejirahisisha. Hata kama unafanya kitu chenye kuhitajika kiasi gani, kama mtu yoyote anaweza kukupata muda wowote anaojisikia basi unakuwa huna thamani kama maji tu. Hata kama unafanya kitu cha ovyo kiasi gani, kama watu hawawezi kukufikia kirahisi basi thamani yako inapanda mpaka mawinguni kama Tanzanite.

10. Maisha ni 'zero sum game' ili mtu mwingine apate LAZIMA mwingine apoteze. Mimi na wewe tunaweza kutembea kutoka hapa mpaka Kigoma na tusiokote hata Shilingi 100, lakini kila siku utasikia kuna mtu anasema 'nimepoteza hela' Hizo hela hazijapotelea barabarani, mferejini au baharini. Hizo hela zimehamia kwenye mfuko wa mtu mwingine. So mifuko yako lazima iwe sumaku ya kuvuta hela. Hela zikipotea zipotelee mifukoni mwako. Hivi ndivyo matajiri wote duniani wanafanya bila kujali industry, Medical industry ni hatari zaidi utauziwa ugonjwa at a premium price.

11. Hakuna kitu kama "vumilia tu hivyo hivyo mambo yatanyooka" ukweli ni kwamba mambo yatazid kuwa magumu naturally kadri siku zinavyosogea. U have to show up hata mambo yawe magumu vipi, usijifariji kwa maneno bali vitendo, crazy people still made fortune during the great depression.

12. Huwezi kutajirika kwa kuwa smart, IQ kubwa, well connected, maarufu, mtata, mpole, GPA kali n.k. Njia pekee ya kutajirika ni kuongeza value ktk maisha ya watu. Remember, sio kila value unayouza itakutajirisha, value pekee itakayokutajirisha ni ile ambayo ina 'fast scalability'.

13. Hii Dunia haijawahi kuwa na Uhaba wa watu wapumbavu, utahitaji kuwaepuka ili uwe more productive. Utachelewa sana kufanikiwa kama utaruhusu kusikiliza kila kinachoingia masikioni mwako, ukijua kuchuja takataka you're almost halfway. Vivyohivyo utawahi kufanikiwa kama ukiwa na uwezo wa kudeal na mapungufu ya watu wengine. Uhodari wako utapimwa katika uwezo wako wa kukabiliana na vita unayopigwa uanguke.

14. Katika kuutafuta utajiri hakikisha unafanya kila kitu at 99.9% integrity. Usisababishe madhara, usiharibu maisha ya watu, usiwe na kona kona, kama kuna sheria unavunja ivunje kihalali. Y? Because there's ALWAYS a bigger fish than you, usiponyooka utanyooshwa na hutaenjoy hiyo process.

15. Watu watakuumiza all the time una option mbili tu (2), usamehe kabisa 100% au ulipize kisasi kitakatifu. Msamaha ni ibada pia kisasi ni ibada. Chagua 1, ukikaa hapo katikati I guarantee ipo siku utajilaumu.

16. Asubuhi, mchana usiku tengeneza pesa zaidi, hakuna kiwango cha pesa kinachotosha. Pia nitamsisitizia mwanangu kuwa kadri pesa zinavyoongezeka ndio matatizo yanaongezeka, maadui, chuki, wivu, husda n.k. so lazima awe emotionally stable Kwanini nitawasisitizia sana wanangu kuhusu pesa/utajiri? Kwa sababu hakuna heshima, umaridadi, ushujaa au ufahari wowote katika umaskini. Kimsingi fedha ni jawabu la mambo yote ~ Mhubiri 10:19
,,,,,,
Moja kati ya nyuzi bora kabisa nilizowahisoma nai copy hapa kuihifadhi kwa diary yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom