Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,764
Mie ni shabiki na rafiki wa January lakini huu utetezi wake is absolutely dumb excuse
Kwani angesema "dhamira ya muswada/sheria ilikuwa nzuri. Hata hivyo utekelezaji unaweza kuwa na mapungufu (ambayo hayaondoi umuhimu wa muswada/sheria husika) ambayo yanajadilika na yanarekebishika" ingemwathiri nini?
Naandika haya kama mmoja wa watu wachache waliomsapoti Januari kunadi muswada huo, na sababu yangu kuu ni kwamba I have been a serial victim of cyberbullying. Niliamini kuwa muswada huo ungezaa sheria ambayo laiti ingetumika bila ubaguzi/upendeleo/uonevu, ingefanya cyberspace ya Watanzania kuwa salama kuliko ilivyo sasa ambapo yahitaji ujasiri kwelikweli kustahimili mvua za matusi mtandaoni.
Back to the point, moja ya sifa za kiongozi mzuri ni ku-own up mapungufu yake hata kama aliyafanya kutokana na collective responsibility.
Sent using Jamii Forums mobile app