Baadhi ya viongozi wetu wanawafanya Watanzania hamnazo

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,764
Mie ni shabiki na rafiki wa January lakini huu utetezi wake is absolutely dumb excuse

Kwani angesema "dhamira ya muswada/sheria ilikuwa nzuri. Hata hivyo utekelezaji unaweza kuwa na mapungufu (ambayo hayaondoi umuhimu wa muswada/sheria husika) ambayo yanajadilika na yanarekebishika" ingemwathiri nini?

Naandika haya kama mmoja wa watu wachache waliomsapoti Januari kunadi muswada huo, na sababu yangu kuu ni kwamba I have been a serial victim of cyberbullying. Niliamini kuwa muswada huo ungezaa sheria ambayo laiti ingetumika bila ubaguzi/upendeleo/uonevu, ingefanya cyberspace ya Watanzania kuwa salama kuliko ilivyo sasa ambapo yahitaji ujasiri kwelikweli kustahimili mvua za matusi mtandaoni.

Back to the point, moja ya sifa za kiongozi mzuri ni ku-own up mapungufu yake hata kama aliyafanya kutokana na collective responsibility.
2c02cfb6e27b21c9aec201dad13f85d8--man-up-i-quotes.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII SHERIA MBONA INAKAMATA WANAOMTUKANA RAIS TU.....ILA WALE MATAPELI WA MITANDAO, WANAOFANYA BIASHARA HARAMU HAIWAHUSU....NAONA ILITUNGWA KUMNUSURU RAIS NA MATUSI YA MITANDAO.
 
Mie ni shabiki na rafiki wa January lakini huu utetezi wake is absolutely dumb excuse

Kwani angesema "dhamira ya muswada/sheria ilikuwa nzuri. Hata hivyo utekelezaji unaweza kuwa na mapungufu (ambayo hayaondoi umuhimu wa muswada/sheria husika) ambayo yanajadilika na yanarekebishika" ingemwathiri nini?

Naandika haya kama mmoja wa watu wachache waliomsapoti Januari kunadi muswada huo, na sababu yangu kuu ni kwamba I have been a serial victim of cyberbullying. Niliamini kuwa muswada huo ungezaa sheria ambayo laiti ingetumika bila ubaguzi/upendeleo/uonevu, ingefanya cyberspace ya Watanzania kuwa salama kuliko ilivyo sasa ambapo yahitaji ujasiri kwelikweli kustahimili mvua za matusi mtandaoni.

Back to the point, moja ya sifa za kiongozi mzuri ni ku-own up mapungufu yake hata kama aliyafanya kutokana na collective responsibility. View attachment 1026408

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuna safari ndefu kama watu mnaowaona kama wasomi ndio hao. Hivi mnavyoandika hawajui kwamba mnajua wana-monitor mawasiliano yenu.
 
Mie ni shabiki na rafiki wa January lakini huu utetezi wake is absolutely dumb excuse

Kwani angesema "dhamira ya muswada/sheria ilikuwa nzuri. Hata hivyo utekelezaji unaweza kuwa na mapungufu (ambayo hayaondoi umuhimu wa muswada/sheria husika) ambayo yanajadilika na yanarekebishika" ingemwathiri nini?

Naandika haya kama mmoja wa watu wachache waliomsapoti Januari kunadi muswada huo, na sababu yangu kuu ni kwamba I have been a serial victim of cyberbullying. Niliamini kuwa muswada huo ungezaa sheria ambayo laiti ingetumika bila ubaguzi/upendeleo/uonevu, ingefanya cyberspace ya Watanzania kuwa salama kuliko ilivyo sasa ambapo yahitaji ujasiri kwelikweli kustahimili mvua za matusi mtandaoni.

Back to the point, moja ya sifa za kiongozi mzuri ni ku-own up mapungufu yake hata kama aliyafanya kutokana na collective responsibility. View attachment 1026408

Sent using Jamii Forums mobile app

Binafsi kauli za Nape na Makamba wiki hii pale Clouds tv zimenishangaza sana.....wamekuwa waoga wa kujibu utafikiri uchaguzi mkuu ni mwezi ujao.
Kila kitu kinacholalamikiwa wanadai wao hawakuhusika sidhani hata kama wanaijua vizuri dhamana ya uwazirii!
 
Namba na hili nalo atubu kuhujumu matokeo ya urais uchaguzi mkuu 2015 , kama mtaalam wa it January walikuwa anapokea matokeo Yote kutoka kwa wakurugenzi wote nchini kisha kuyabadisha kumpa jiwe ushindi halafu ndo ,anayatuma kwa lubuva ,naye alihusika kwenye bao la mkono aje akanushe .
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom