Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,127
- 6,764
Marekani ndio nini Bwana, kwani kila mtu lazima aende uko?Wengine mpaka Leo hawana mpango wa kwenda kokote, alipigwa marufuku Mugabe akaenda UN.Marekani yapiga marufuku baadhi ya viongozi wa DRCongo na familia zao kuingia nchini humo. Wanadai walipika matokeo ya uchaguzi. Yumo MK wa Tume, Jaji Mkuu, Rais wa Bunge, Rais wa Mahakama ya Katiba, baadhi ya Wanajeshi Waandamizi na Serikali.
US bans DRC election chief, top judge over vote conduct
Sent using Jamii Forums mobile app