Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,503
- 217,762
- Thread starter
- #21
Sheria zipi ?Inatakiwa hawa BAWACHA wajifunze kufuata Taratibu na sheria za nchi.
Sheria zipi ?Inatakiwa hawa BAWACHA wajifunze kufuata Taratibu na sheria za nchi.
Ukienda kwa kuandamana utahitaji kibali, naona BAWACHA mnataka kumbipu Rais Samia, akiwapigia msimlaumu🤣Nani alikuambia kwenda ubalozini kunahitaji kibali ?
Za nchi aiseeSheria zipi ?
hii nchi inaelekea ukingoniUkienda kwa kuandamana utahitaji kibali, naona BAWACHA mnataka kumbipu Rais Samia, akiwapigia msimlaumu🤣
Same old story.hii nchi inaelekea ukingoni
Hilo gari limechakaa hakuna mfanoweMwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana akina mama wengine wa Chadema .
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La
View attachment 1872428
Huu usemi wako toka 2015 mpaka leohii nchi inaelekea ukingoni
Ni hivi ndugu yangu, wakati wa mwendazake watu tuliogopa kusema, kuandika etc. Hivyo ikafanya wengi wa opt kuwa na ID fake kama za kwetu hizi. Walioamua kuwa verified users ilibidi uhuru wa mawazo na ukweli wao wauweke kwapani au waufungie chooni. Matokeo yke ni kuandika takataka maana akiandika ukweli anapotezwa (ingawa sasa Samia anakwenda kwa Jiwe, kuua, kupoteza, kubambika kesi, kodi za dhuluma, etc etc.Mimi huwa najiulizaga sana,Jamii forum huwa wanatumia vigezo gani ku-verify user wake manake verified users wanaandikaga vitu vya ajabu ajabu mpaka unajikuta unaanza kuwazia mental state ya muhusika ipoje kiujumla
Maandamano yana kibali? Hivi mnapoandamana kumpokea Zuchu huwa mna kibali?Walipewa kibali cha maandamano ? Makosa mengine ni ya kujitafutia
Ndiyo kazi wanayoiweza kwa sasaHawa polisi sasa watamkamata kila mtu kama vichaa.
Huu usemi wako toka 2015 mpaka leo
Tofautisha kwenda kumpokea mtu na maandamano.Maandamano yana kibali? Hivi mnapoandamana kumpokea Zuchu huwa mna kibali?
Akijibu nistue .Maandamano yana kibali? Hivi mnapoandamana kumpokea Zuchu huwa mna kibali?
Hakuna mahusiano kati ya usemi wako ....hii nchi inaelekea ukingoni.... miaka yote inaelekea na lini itafika? Acha kutumia tungo batili
Unacheka cheka mtoto wa kiume ushakuwa shog@ nini? Maana unapenda kucheka cheka sana, mtoto wa kiume hacheki hovyo hovyo unless una ushog@ ndani yako, halafu eti mpare, we ni mat@ko.Chadema bhana 😂😂😂 em wakachanjwe hukooooooo
Kumbe wewe ni mjinga kabisa, unaulizwa kama walikuwa na kibali cha maandamano alafu wewe unajibu swala la kwenda ubalozini, kwamba walikuwa katika pitapita zao huko ubalozini au?Nani alikuambia kwenda ubalozini kunahitaji kibali ?
Mungu awabariki wazungu sio? Hiyo kauli yako sikuizi siisikii,nadhani ni kwasababu wazungu wenu hawatoi matamko sikuhizi.Emagine watu mpaka wanaenda kugalagala mlangoni kwao lakini bado wamekaa kimya tu.😂hii nchi inaelekea ukingoni
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa Chadema .
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au La
View attachment 1872428